Napokea order ya simu mzigo nachukulia korea nazileta kwa order unaniagizia unalipa advance mzigo ukifika unamalizia pesa unachukua simu yako
Kaka heshima nikitu cha bure sawa ulishawaigi kufanyabiashara na mm kiasi ufikie kusema maneno kama hayo eti watu tuko tofauti sawa wengine kuuza vitu mitandaoni hii nikaz yetu sijaanzia na simu mm na uwa sinaga hizo habari sawaa kaka usiishi kwa kukremisha sawa watu tumetofautiana sisi mm naelewa ukimdhulumu mtu what next sawaa usiwee unapenda kuropoka sawaa kakaWewe ni tapeli
Unatakiwa utofautishe ndio maana nikakwambia naleta kwa order nakule simu nying zinazo patikana kwa wingi ni samsung iphone lg mtu unaangalia unaniambia tablet ya model hii ni shilingi ngapi nakujibu usiwe unaropoka vitu usivyo vijua kaka sawaaWewe ni tapeli
Nipe za bei poa huko mimi nichague kama ningekuwa nataka za huku nisingekuuliza ww wa koreaChagua wewe uniambie mm nataka tablet hii ni bei gani kwa uko ndio nikuambie tajiri yangu maana zipo za aina nyingi boss wangu
Napata mashaka na majibu yake sijui kama kwel kuna biashara hapa au Kelvin Isaya kaja kivingine yaani mtu ukiumwa na nyoka ata jani likikugusa tu lazima ustukeWewe ni tapeli
Pokea Order ya simu samsang galax s7Napokea order ya simu mzigo nachukulia korea nazileta kwa order unaniagizia unalipa advance mzigo ukifika unamalizia pesa unachukua simu yako
Mata.ko kweli wewe, kwa nini nisiende Samsung shop nikapate cha uhakika na warranty juu.1.6 mil mkuu. Unatoa advance ya mil 1. Ukipatia mzigo wako unamalizia iliyobaki. Na utakapotoa advance unapewa dhamana ili usifikiri kuna wizi hapa
Hehehe...tapeli mkubwa wewe, kunahaja gani kukupa pesa yangu ufanyie biashara afu urejeshe badala ya wewe kunilipa riba mie ndo nikulipe, kweli maisha yamekuwa magumu, Samsung shops napata kwa bei hiyo hiyo au ya chini ya hapo sa kuna haja gani ya kufata Korea?Pi
Pumbvu sana wewe. Sasa kwani umelazimishwa hapa. Nyooooo