Nicheki PM MkuuNdugu!
Shule mpya imeanza na Kuna Nia ya mchakato wa kuagiza t-shirts za shule
Shule ipo wilayani Nanyumbu Mtwara
Naomba kupewa a, b, c za namna njema ya kupata mtu anayeweza kubeba order ya kusupply tshirts printed, kwa Bei nafuu
Karibuni kunipa elimu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndugu!

habari naprint tshirt kwa bei nafuu sana karibu nikuhudumieNdugu!
Shule mpya imeanza na Kuna Nia ya mchakato wa kuagiza t-shirts za shule
Shule ipo wilayani Nanyumbu Mtwara
Naomba kupewa a, b, c za namna njema ya kupata mtu anayeweza kubeba order ya kusupply tshirts printed, kwa Bei nafuu
Karibuni kunipa elimu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata mimi nitakutafutahabari naprint tshirt kwa bei nafuu sana karibu nikuhudumie
karibu ninaprint tshirt aina zoteHata mimi nitakutafuta
Nimekucheki mkuukaribu ninaprint tshirt aina zote
Ile ya kudarizi kabisa au ya picha?karibu ninaprint tshirt aina zote
nafanya vyoteIle ya kudarizi kabisa au ya picha?
I Meant embroidery...jana nilisahau hili neno! πππnafanya vyote
kudarizi na pia na kuprint kawaida vyote nafanya karibu
ni check pm bossNdugu!
Shule mpya imeanza na Kuna Nia ya mchakato wa kuagiza t-shirts za shule
Shule ipo wilayani Nanyumbu Mtwara
Naomba kupewa a, b, c za namna njema ya kupata mtu anayeweza kubeba order ya kusupply tshirts printed, kwa Bei nafuu
Karibuni kunipa elimu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
nafanya piaI Meant embroidery...jana nilisahau hili neno! πππ
mkuu karibu nafanya embroidery piaI Meant embroidery...jana nilisahau hili neno! πππ
Kisa anesema yupo pembezoni, acheni kupiga wenzenu, Wapo jamaa wanafanya zile za kudarizi kbs ni 15,000!Tsh 20,000/= karibu PM kwa Tshirt quality za cotton
Ya kudarizi ni pesa ngapi..?nafanya vyote
kudarizi na pia na kuprint kawaida vyote nafanya karibu
12500 material ya first and time.Ya kudarizi ni pesa ngapi..?