Oral Interview TRA

MLULUNI

Member
Nov 30, 2011
13
0
Habarini wadau wa JF,

Naomba kuuliza kwa wale ambao tulifanya usaili TRA pale mwenge chuo cha Tax kwa nafasi za IT Vip kuna aliyeitwa kwa ajili ya Usaili wa mahojiano.

Mwenye taarifa please
 
Uliyaona matokeo? Yalibandikwa pale baadae wakapunguza idadi ya watu. Panga likapita tena. Swali lingekuwa je, wameshaitwa kazini?
 
Back
Top Bottom