Oral interview Technobrain, wameanza kupiga simu?

Oral interview Technobrain, wameanza kupiga simu?

okellecky

Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
67
Reaction score
8
Hello wanajamvi, hope mko pouwa!

Jamani naomba kuuliza kwawale walofanya Oral interview ya customer service Technobrain jumamosi vp kunaambaye ameshapigiwa simu? akina renyo na wengine mlofanya hii interview naomba tupeane update if any!

Natanguliza shukrani
 
Hello wanajamvi, hope mko pouwa!

Jamani naomba kuuliza kwawale walofanya oral interview ya customer service Technobrain jumamosi, vipi kuna ambaye ameshapigiwa simu? akina Renyo na wengine mlofanya hii interview naomba tupeane update if any!

Natanguliza shukrani.
 
Hawajapiga bado, cjui wana mpango gani,?

jamani naomba kuuliza ..nyie mliofanya interview mliapply vipi? mana walitoa namba zao zikawa hazipatikani au mlipeleka kwa mkono ?
 
Back
Top Bottom