malaika wa motoni
Senior Member
- Jul 28, 2016
- 131
- 102
Unaleta mbwembwe? Utapigwa mshangao wa HatariSalaam.
Tuliofanya Oral interview naomba tukutane hapa ili kupeana mrejesho maana nimesahau hata kuliza lini wanatoa majibu rasmi na kupewa barua za vituo vya kaz.
Hahah hafahamu mzigo hauchelewi pindukaUn
Unaleta mbwembwe? Utapigwa mshangao wa Hatari
Ha ha haaUn
Unaleta mbwembwe? Utapigwa mshangao wa Hatari
hahaaaaUn
Unaleta mbwembwe? Utapigwa mshangao wa Hatari
marahisi sana
Wanaojiamini mara nyingi wanaferi huenda your overconfident wakaona utawasumbua kazini. Mimi nilijiona nimeferi maana maswali mengine nilikuwa nasema nimesahau na nimepata post ndo nimeanzanikiwahi kupiga interview UTUMISHI ya oral, sikuona swali nililokosa (kifupi maswali yooote nilikua nayajua) ila cha kushangaza nilifeli, ikabidi nirudi nyuma nijitafakari nijue wanataka nini
Majibu ni huwa baada ya wiki tatu jamaa yanguSalaam.
Tuliofanya Oral interview naomba tukutane hapa ili kupeana mrejesho maana nimesahau hata kuliza lini wanatoa majibu rasmi na kupewa barua za vituo vya kaz.
Wanaojiamini mara nyingi wanaferi huenda your overconfident wakaona utawasumbua kazini. Mimi nilijiona nimeferi maana maswali mengine nilikuwa nasema nimesahau na nimepata post ndo nimeanza
mbwe mbweHahah ,eti lini tunapewa barua za vituo vya kazi,,,,
Mimi nilikua najiamini na kazi nikapata.Wanaojiamini mara nyingi wanaferi huenda your overconfident wakaona utawasumbua kazini. Mimi nilijiona nimeferi maana maswali mengine nilikuwa nasema nimesahau na nimepata post ndo nimeanza
nan huyo mkuuKaribuni kwenye utumwa wa umma...kuna yule dogo alipata kazi t.r.a ikawa kutwa nzima anatusumbua humu kwa thread...ckuhz baada ya kuona maisha ndani ya ajira yalivyo naona katulia kawa mpole hahaaah