Kuna dogo anapiga kesho ngoja nimpange apitie vyema makabrasha ya Data ManagementWazee at my age nimeshahudhuria interview nyingi za oral na written, ila ya leo wazee nisiwe muongo nimeshikwa pabaya, kama kawaida yangu nilijiandaa vya kutosha na nikahakikisha niko nondo, nikijua kuwa naenda kwenye interview ya oral na kawaida huanza na swali la introduce your self, ila nikakutana na benefits of duty remission 🤣🤣🤣, mpaka hapo nikawa nje ya mchezo, anza kujiuliza kwa hiyo leo swali letu pendwa halipo?? Huku unaumiza kichwa kutafuta hizo points za duty remission, unasema likitoka hili litakalokuja lazima ni-equalize,... Hee kinaingia chuma tena cha moto kuliko cha kwanza,..... Wazee yani katika maswali saba just maswali mawili ndio nimetembea with full of confidence,... Sijawahi toka usahili wa oral nikiwa natetemeka na sina matumaini,..... Hebu candidates wenzangu wa custom officer niambieni kama macho yamenitoka peke yangu
Tra?Wazee at my age nimeshahudhuria interview nyingi za oral na written, ila ya leo wazee nisiwe muongo nimeshikwa pabaya, kama kawaida yangu nilijiandaa vya kutosha na nikahakikisha niko nondo, nikijua kuwa naenda kwenye interview ya oral na kawaida huanza na swali la introduce your self, ila nikakutana na benefits of duty remission 🤣🤣🤣, mpaka hapo nikawa nje ya mchezo, anza kujiuliza kwa hiyo leo swali letu pendwa halipo?? Huku unaumiza kichwa kutafuta hizo points za duty remission, unasema likitoka hili litakalokuja lazima ni-equalize,... Hee kinaingia chuma tena cha moto kuliko cha kwanza,..... Wazee yani katika maswali saba just maswali mawili ndio nimetembea with full of confidence,... Sijawahi toka usahili wa oral nikiwa natetemeka na sina matumaini,..... Hebu candidates wenzangu wa custom officer niambieni kama macho yamenitoka peke yangu
Pole mkuu.Wazee at my age nimeshahudhuria interview nyingi za oral na written, ila ya leo wazee nisiwe muongo nimeshikwa pabaya, kama kawaida yangu nilijiandaa vya kutosha na nikahakikisha niko nondo, nikijua kuwa naenda kwenye interview ya oral na kawaida huanza na swali la introduce your self, ila nikakutana na benefits of duty remission 🤣🤣🤣, mpaka hapo nikawa nje ya mchezo, anza kujiuliza kwa hiyo leo swali letu pendwa halipo?? Huku unaumiza kichwa kutafuta hizo points za duty remission, unasema likitoka hili litakalokuja lazima ni-equalize,... Hee kinaingia chuma tena cha moto kuliko cha kwanza,..... Wazee yani katika maswali saba just maswali mawili ndio nimetembea with full of confidence,... Sijawahi toka usahili wa oral nikiwa natetemeka na sina matumaini,..... Hebu candidates wenzangu wa custom officer niambieni kama macho yamenitoka peke yangu
Customs Officer mlikuwa panel ngapi za kufanyia oral interview ni moja au vyumba tofauti tofautiWazee at my age nimeshahudhuria interview nyingi za oral na written, ila ya leo wazee nisiwe muongo nimeshikwa pabaya, kama kawaida yangu nilijiandaa vya kutosha na nikahakikisha niko nondo, nikijua kuwa naenda kwenye interview ya oral na kawaida huanza na swali la introduce your self, ila nikakutana na benefits of duty remission 🤣🤣🤣, mpaka hapo nikawa nje ya mchezo, anza kujiuliza kwa hiyo leo swali letu pendwa halipo?? Huku unaumiza kichwa kutafuta hizo points za duty remission, unasema likitoka hili litakalokuja lazima ni-equalize,... Hee kinaingia chuma tena cha moto kuliko cha kwanza,..... Wazee yani katika maswali saba just maswali mawili ndio nimetembea with full of confidence,... Sijawahi toka usahili wa oral nikiwa natetemeka na sina matumaini,..... Hebu candidates wenzangu wa custom officer niambieni kama macho yamenitoka peke yangu
Bro TMO nmeifanya jana akili imevurugika yani discussion zote zile ni kama nmekesha bureWazee at my age nimeshahudhuria interview nyingi za oral na written, ila ya leo wazee nisiwe muongo nimeshikwa pabaya, kama kawaida yangu nilijiandaa vya kutosha na nikahakikisha niko nondo, nikijua kuwa naenda kwenye interview ya oral na kawaida huanza na swali la introduce your self, ila nikakutana na benefits of duty remission 🤣🤣🤣, mpaka hapo nikawa nje ya mchezo, anza kujiuliza kwa hiyo leo swali letu pendwa halipo?? Huku unaumiza kichwa kutafuta hizo points za duty remission, unasema likitoka hili litakalokuja lazima ni-equalize,... Hee kinaingia chuma tena cha moto kuliko cha kwanza,..... Wazee yani katika maswali saba just maswali mawili ndio nimetembea with full of confidence,... Sijawahi toka usahili wa oral nikiwa natetemeka na sina matumaini,..... Hebu candidates wenzangu wa custom officer niambieni kama macho yamenitoka peke yangu
Yani wewe Kama mm nihuzuni kwa kweliBro TMO nmeifanya jana akili imevurugika yani discussion zote zile ni kama nmekesha bure
Yote maisha, hongera sana kwa usahiliWazee at my age nimeshahudhuria interview nyingi za oral na written, ila ya leo wazee nisiwe muongo nimeshikwa pabaya, kama kawaida yangu nilijiandaa vya kutosha na nikahakikisha niko nondo, nikijua kuwa naenda kwenye interview ya oral na kawaida huanza na swali la introduce your self,
Ila nikakutana na benefits of duty remission 🤣🤣🤣, mpaka hapo nikawa nje ya mchezo, anza kujiuliza kwa hiyo leo swali letu pendwa halipo?? Huku unaumiza kichwa kutafuta hizo points za duty remission, unasema likitoka hili litakalokuja lazima ni-equalize,...
Hee kinaingia chuma tena cha moto kuliko cha kwanza, Wazee yani katika maswali saba just maswali mawili ndio nimetembea with full of confidence,... Sijawahi toka usahili wa oral nikiwa natetemeka na sina matumaini,..... Hebu candidates wenzangu wa custom officer niambieni kama macho yamenitoka peke yangu
Mwambie ajiandae haswaa na asidharau sehemu akasema hapa hawatotoa swaliKuna dogo anapiga kesho ngoja nimpange apitie vyema makabrasha ya Data Management
Ndio ukubwa chiefPole mkuu.
Nimetoka kama saa tatu na nusu ila nimeona ziko kama vyumba 34 au 33 hiviCustoms Officer mlikuwa panel ngapi za kufanyia oral interview ni moja au vyumba tofauti tofauti
Daah acha ndugu ila jamaa kweli wamepania kuchukua watu walio nondo sio wamezaji na ilikuwa kuchuja wale waliopita kwa kugoogleBro TMO nmeifanya jana akili imevurugika yani discussion zote zile ni kama nmekesha bure
Nimejibu kaka ila kwa points za kutafuta sana ndio nasema ambapo nilijibu kwa relax ni maswali mawiliSujasoma hizo issue lkn kwani remission umwshindwa kabisa kujaribu chief
Wamefanikiwa kwa asilimia miaDaah acha ndugu ila jamaa kweli wamepania kuchukua watu walio nondo sio wamezaji na ilikuwa kuchuja wale waliopita kwa kugoogle
Ajibu kitu ambacho hakijui?Interview za serikali ukiulizwa swali usiseme hujui au ukakaa kimya,bora ujibu hata kama ukikosa kuna namna nyingine huwa wanaangalia namna ya kuadjust marks
Daaah,pole sana ila swali lilikua rahisi mno mkuu sema labda ulipanic,ungeijua tafsiri ya hiyo duty remission tu ulikua umetoboa,sio mbaya ndio kujifunza kwenyewe hukoWazee at my age nimeshahudhuria interview nyingi za oral na written, ila ya leo wazee nisiwe muongo nimeshikwa pabaya, kama kawaida yangu nilijiandaa vya kutosha na nikahakikisha niko nondo, nikijua kuwa naenda kwenye interview ya oral na kawaida huanza na swali la introduce your self,
Ila nikakutana na benefits of duty remission 🤣🤣🤣, mpaka hapo nikawa nje ya mchezo, anza kujiuliza kwa hiyo leo swali letu pendwa halipo?? Huku unaumiza kichwa kutafuta hizo points za duty remission, unasema likitoka hili litakalokuja lazima ni-equalize,...
Hee kinaingia chuma tena cha moto kuliko cha kwanza, Wazee yani katika maswali saba just maswali mawili ndio nimetembea with full of confidence,... Sijawahi toka usahili wa oral nikiwa natetemeka na sina matumaini,..... Hebu candidates wenzangu wa custom officer niambieni kama macho yamenitoka peke yangu