MtuMmoja
Member
- Aug 30, 2011
- 77
- 14
Habari zenu wanajamii forum, naomba msaada wa mwenye kujua wapi naweza kupata training ya ORACLE database hapa dar, Hatua technology nimeskia wanatoa hii course but ni training pekee bila Certificate(cheti cha kuhitimu),so nataka wenye kutoa training na cheti pia ada yake coz kuna mchongo flani bila ORACLE siwezi kuufanikisha.
MSAADA PLEASE!!
MSAADA PLEASE!!