Option ya kubadili 'storage' kwenye Samsung J5.

thanx chief ishaintall.nasaidie kitu kimoja,huwa kuna vitu najifunza youtube online.sasa kila nikifungua scraching kibao hadi kunifanya nisielewe kile mnacho jifunza.msaada km kuna apps yoyote itayonisaidia kuingia youtube nikaangalia bila scraching yoyote nisaidie mkuu.
1. jaribu kudownload hivyo vitu vya online kisha viangalie kwenye pc baadae, maana kuangalia online kunahitaji nguvu kubwa kushinda kuangalia offline.

2. pengine huna drivers za graphics, ukizieka speed inaweza ikaongezeka. hapa naweza kukuangalizia drivers zake kama utanitajia full name ya hio computer yako.
 
INTEL COLERON
 
chief aijaandikwa.ukiwasha ndo imeandikwa intel .hata nilivyo scan kwa CPU Z model intel coleron
 
celeron ni aina ya processor. hata hio sio mbaya nitajie jina la hio celeron sasa, mfano celeron 326

angalia hii picha

cpuz-cpu-sc-oc-vc.jpg
 
imeandikwa ivi chief
name INTEL CELORON
codename NORTHENWOOD brand ID 15
package socket 478mpga
tech 0.13mn
na vingine kibao
 
mkuu nashkuru ila nazo bado zinascrach.nipe apps ya kudownlowd tuu km ipo
sababu ipo slow usitumie app au software nyengine tumia service za online.

njia common ya kudownload youtube ni kuongeza neno SS nyuma ya adress ya youtube.

ingia youtube kisha search hizo tutorial zako ikianza kuplay nenda kwenye adress bar pale juu utaona adress kama hii

www.youtube.com/watch?v=Q1rhoq77dcY

ibadili iwe kama hivi

ssyoutube.com/watch?v=Q1rhoq77dcY

hapo umefuta www. na kuongeza ss

click ok itafunguka website mpya inaitwa savefrom halafu utapewa option ya kudownload.

download quality ya 360p, itakuwa rahisi kwa pc yako kuicheza.
 
mkuu niiondeza ss.this site cant be reached
 
mkuu nimejaribu sana.lkn sion chochote zaidi ya video kuendelea kuplay.sehemu nayo ona ukidowlod inaleta vitu tofaut pdf
angalia hii picha

QnDJd7j.jpg

hivyo ndio unavyotakiwa ubadili kisha unabonyeza enter au ok au unavyofanya mwenyewe ukieka adress mpya.

itakuja page kama hii

ssyoutube.png
 
Back
Top Bottom