Option ya kubadili 'storage' kwenye Samsung J5.

Option ya kubadili 'storage' kwenye Samsung J5.

hope memory card umeshanunua.

1. eka adb on nenda setting kisha developer option kuipata hio adb. kama huna option ya developer setting nenda about kisha gusa mara nyingi nyingi kwenye build number ku enable hio feature.

2. ukishaeka adb on download minimal adb and fastboot kwenye computer, kisha connect simu na computer kwa usb cable.

link ya adb
[TOOL]Minimal ADB and Fastboot [1-6-17]

ukishamaliza hapo ndio unaanza kueka hizo commands. unazicopy na kupaste tu. huna haja ya kukariri
kiongozi hio adb fastboot ina mb ngapi maana. nimeziona nyingi nyingi
 
umejaribu kubadili browser? kama opera mini au ucweb mini ambazo ni nyepesi?

tumia hizo uone kama itasaidia.

ikikubali pengine ni ram
umejaribu kubadili browser? kama opera mini au ucweb mini ambazo ni nyepesi?

tumia hizo uone kama itasaidia.

ikikubali pengine ni ram tu ndogo,
mkuu kila nikijaribu kuzidownload google zinagoma.samahani mkuu naomba nitumie link ya hizo browser.
 
oh ok.

windows ngapi unatumia? una ram kiasi gani? cpu yako ni ipi?

nenda my computer kisha right click chagua properties kuangalia specs.
lock disk D total 92.5GB free 11.4GB
lock disk C total 19.5GB free 8.5GB
WINDOW XP
 
lock disk D total 92.5GB free 11.4GB
lock disk C total 19.5GB free 8.5GB
WINDOW XP
huja right click na kuchagua properties. kwenye mouse bonyeza hicho cha upande wa kulia ukiwa hapo kwenye my computer halafu chagua properties.
 
huja right click na kuchagua properties. kwenye mouse bonyeza hicho cha upande wa kulia ukiwa hapo kwenye my computer halafu chagua properties.
mkuu mbona nimefungua mbona hivyo vitu ulivyoniambia niangalie siviooni.nakuta vitu tofauti.ningekuma screenshoot sema kila nikiattach file naambiwa the aploaded file does not have an allowed extension
 
hakuna ulazima wa kucopy na kupaste hio ni njia tu ya kukupunguzia kazi.

na pia mimi sijui ulichofanya huko, bila kuniambia ulichofanya na ulipoishia itakuwa ngumu kwa mimi kuelezea zaidi.
Ooh! Shida ni kwamba, nikifika kwenye kuenter 'sm list-disks' ninaambiwa 'error not recognised'. Au pengine kuna kitu sijakielewa?
Nivumilie mkuu maana, siyo mtaalamu sana wa mambo haya.
 
kwa nn msitafutane ikiwa wote mpo dar japo mnatoa elimu nzur hapa kwa kumbukumbu za baadae
 
mkuu mbona nimefungua mbona hivyo vitu ulivyoniambia niangalie siviooni.nakuta vitu tofauti.ningekuma screenshoot sema kila nikiattach file naambiwa the aploaded file does not have an allowed extension
na expect upate kitu kama hiki

systemGeneral.jpg

ukiangalia chini kulia processor na ram vimeandikwa.

kuipata unafanya hivi

windows-xp-start-my-computer-properties-annotated.png
 
Ooh! Shida ni kwamba, nikifika kwenye kuenter 'sm list-disks' ninaambiwa 'error not recognised'. Au pengine kuna kitu sijakielewa?
Nivumilie mkuu maana, siyo mtaalamu sana wa mambo haya.
hio sm list haitafanya kazi kama hujaconect simu na waya na kuweka on adb, angalia hii video kwa maelezo ya kina zaidi.

celoron(R)CPU2.00GHz
1.99GHz mb or RAM
hujaandika idadi ya mb za ram, ila sababu umeandika ni mb na sio GB ina maana ram yako ni ndogo sana.

ushauri kaongeze tu ram angalau 2GB. kuna program inaitwa cpu z idownload halafu run itakueonesha full specs, then angalia aina ya ram computer yako inayotumia halafu kanunue.

ram siku hizi ni bei rahisi sana mtaani used. haitapita 20,000.

download hapa

CPU-Z | Softwares | CPUID
 
thanx chief ishaintall.nasaidie kitu kimoja,huwa kuna vitu najifunza youtube online.sasa kila nikifungua scraching kibao hadi kunifanya nisielewe kile mnacho jifunza.msaada km kuna apps yoyote itayonisaidia kuingia youtube nikaangalia bila scraching yoyote nisaidie mkuu.
 
Back
Top Bottom