Optical illusion

Optical illusion

marijuana

Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
42
Reaction score
20
Hii picha ya hili gauni imeleta mtafaruku na ubishi kidogo na watu wangu wa karibu,ubishi huo unatokana na rangi zinazoonekana kwenye hiyo picha,wengine wanasema ni BLUE & BLACK wengine wanasema ni WHITE & GOLD. Nyie mnaonaje?
 
1.jpg
 
Kuna mjadala umeendelea kwa siku mbili kwenye mitandao na kuulizana zaidi ya mara mil24 1425075565471.jpg
 
Is this even serious?
Siamini kama kuna mtu timamu anaweza ona Gold na white kwenye hiyo nguo.
Its definitely black and blue.
 
Hii picha umeibadilisha? Me juzi nliiona white na gold leo naona blue and black
 
Mkuu huu ni utani tu

Labda jina lako linachangia kwenye kuona rangi tofauti !
 
Hii picha ya hili gauni imeleta mtafaruku na ubishi kidogo na watu wangu wa karibu,ubishi huo unatokana na rangi zinazoonekana kwenye hiyo picha,wengine wanasema ni BLUE & BLACK wengine wanasema ni WHITE & GOLD. Nyie mnaonaje?

Kwa hiyo wale wote walioulizwa worldwide ni watu wako wa karibu?!
 
Back
Top Bottom