Mkuu kitendo cha kumwagia wasichana wa watu tindikali ndio tumejimaliza kabisa kitalii, wageni wengi hasa hasa wa kutoka Ulaya na Merikani si rahisi kutofautisha Zanzibar na Tanzania bara. Headlines ni - Watanzania wamemwagia tindikali visichana vidogo, katikati au mwishoni mwa habari ndio wanasema tukio lilitokea ni kisiwani Zanzibar!
Mkuu Tanzaia is getting a peanut kila wanapokuja watu kama huyu Mama.Malipo yote hufanywa nje ya Nchi na wazungu na Tanzania we only direct money toka kwenye hotels , part entry na vitu vichahe .Makampuni ya wazungu yanafaidi utalii zaidi ya sisi wazawa na Nchi kwa ujumla .Hili serikali inalijua lakini they are not ready to change na wabunge wao wanawaza kuongeza gharama za utalii bila kuangalia Nchi na wananchi wanapataje faida .
Nani kati ya viongozi wetu anayejua utalii na faida yake. Wangelikuwa wanajua hilo basi wasingelikuwa wanakomalia mambo yanayokwaza utalii kama tuhuma za ugaidi. Tukio la arusha kila kiongozi alisema Ni ugaidi. Wenzetu wanajua pamoja na moto kuteketeza airport katika mazingira ya kutatanisha, wamekataa kabisa kuhusisha na ugaidi. Mama kaja na ameondoka, wiki ijayo tutaspendi ma milion kutangaza huko UK. Miezi kadhaa wanasiasa uchwara wanatangaza ugaidi wa chadema nchi nzima. Ni shamba la bibi kwa sasa.
Mkuu Tanzaia is getting a peanut kila wanapokuja watu kama huyu Mama.Malipo yote hufanywa nje ya Nchi na wazungu na Tanzania we only direct money toka kwenye hotels , part entry na vitu vichahe .Makampuni ya wazungu yanafaidi utalii zaidi ya sisi wazawa na Nchi kwa ujumla .Hili serikali inalijua lakini they are not ready to change na wabunge wao wanawaza kuongeza gharama za utalii bila kuangalia Nchi na wananchi wanapataje faida .
Upumbavu!!!!!!!!!!!!!!!!!Poa sana kenya watatukoma.