Oprah for President 2020

Oprah for President 2020

Hiyo ya Graham ni kweli lakini hiyo skendo ya ulesbian hakuna vinginevyo ingeshaibuliwa siku nyingi.
Hebu fatilia kidogo BAK...japo I was very young kipindi hicho! lakini nakumbuka haka kaskendo kake, na kaliibuliwa na kipindi cha E! News ( walibambwa wanatomasana/ kisses, full romantic yaan)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ana rafiki yake mpenzi anaitwa Gayle ni mtangazaji huyu. Wameshibana sana ni chanda na pete na kuna wakati hata vacation wanaenda wenyewe wawili tu. Nadhani kuna watu waliwazushia hivyo lakini wakakanusha na mpaka sasa hivi hakuna aliyeweza kuja na ushahidi wa kuthibitisha hilo.

Hebu fatilia kidogo BAK...japo I was very young kipindi hicho! lakini nakumbuka haka kaskendo kake, na kaliibuliwa na kipindi cha E! News ( walibambwa wanatomasana/ kisses, full romantic yaan)
 
Hana uzoefu wowote na siasa ila wamarekani wanavyo penda ma celebrity anaweza kugombea na kushinda.
Urais ni taasisi.
"Kazi ya urais na Uenyekiti,husomei kokote,unajifunza hapo hapo,ila akili yako ikiwa mbovu....."JHMK
 
Nasikia huyu mama anachapwa nyongani na JAMIE FOXX
 
Yule mama chuma,hua siwaamini wanawake ila Winfrey namkubali sana.

Halafu hayo mnayoyasema sijui ili rais usa inabidi uwe na familia kwenye katiba yao hayamo,mbona walishawahi kua na rais ambaye hakuwahi kua na mke wala mtoto
 
Ana rafiki yake mpenzi anaitwa Gayle ni mtangazaji huyu. Wameshibana sana ni chanda na pete na kuna wakati hata vacation wanaenda wenyewe wawili tu. Nadhani kuna watu waliwazushia hivyo lakini wakakanusha na mpaka sasa hivi hakuna aliyeweza kuja na ushahidi wa kuthibitisha hilo.
Ewaaaaa Gayle...

Huyo huyo ndo Oprah alikuwa anamla!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mnataka Dunia yote itawaliwe na watu wasiokuwa na future generations??
 
Sawa Anaweza kuwa raisi bila ya uzoefu kama alivo trump au Reagan ndio mana nikasema usa wanapenda sana ma celebrity kuwa viongozi.

Ronald Reagan alikuwa na uzoefu mwingi tu.

Ronald Reagan alikuwa rais wa chama cha waigizaji huko Hollywood.

Ronald Reagan alikuwa Gavana wa California kuanzia mwaka 1967 hadi 1975. Mihula miwili hiyo.

Hivyo acheni kudanganya. Reagan alikuwa na uzoefu wa kutosha kabisa wa kiuongozi.
 
Hahahahaha lol! Sasa kukiwa na lesbians wawili nani anamla mwenzie? Ila kama nilivyosema hakuna kitu kama hicho bali hawa ni chanda na pete wameshibana sana. Kama kungekuwa na ushahidi basi ungeshaanikwa. Ila huyu Gayle sikumbuki kusikia kama ana mwanaume na anajipenda na ni mrembo pamoja na kuwa umri umeenda.

Ewaaaaa Gayle...

Huyo huyo ndo Oprah alikuwa anamla!
 
Hahahahaha lol! Sasa kukiwa na lesbians wawili nani anamla mwenzie? Ila kama nilivyosema hakuna kitu kama hicho bali hawa ni chanda na pete wameshibana sana. Kama kungekuwa na ushahidi basi ungeshaanikwa. Ila huyu Gayle sikumbuki kusikia kama ana mwanaume na anajipenda na ni mrembo pamoja na kuwa umri umeenda.
Yes Gayle mzuri sana yule mbibi....wanakulana jamani!

Toka lini wanawake wakawa mashost?

Ukiona urafiki wa kike tilia shaka sana!
 
USA is not yet to be presidented by Female, may be next century. OVER
 
There is no way atapata...
Bado wamarekani hawawezi kumuweka 'Mwanamke' 'Mweusi' madarakani.
Ukifuatilia, hata wao hawajapiga hatua huko. Deep down wengi bado wana mfumo dume, especially katika zile states zenye nguvu ambazo zina conservatives na farmers.
Remember..ana support kubwa ya white Hollywood celebrities..ambao wamarekani wengi wanawapenda na kuwaamini sana ..pia kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa vile vipindi vya Oprah show..waalikwa wengi ni wazungu especially wanawake..Chochote anachokigusa Oprah..hugeuka dhahabu..akikipigia promo tu...kicho kitu kitaisha ndani ya siku moja!iwe viatu,nguo,saa,vifaa vya nyumbani..yaani ni hatari..hiyo yote inaonyesha upendo walionao wamarekani kwa Oprah!
 
Yes Gayle mzuri sana yule mbibi....wanakulana jamani!

Toka lini wanawake wakawa mashost?

Ukiona urafiki wa kike tilia shaka sana!
Dah...utatustua.. ina maana nyie wanawake mkishibana sana..ushost kwa wingi..kumbe mnakulana..maana ooh niambie mpenzi..mara my love vipi huko..kumbe ni za kutiliwa mashaka!Hatari!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom