Oprah Content on being 'a never married woman'

Oprah Content on being 'a never married woman'

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,190
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anyway nilikuwa na peruz na kudadisi mablog mbali mbali nikakutana na Bi mkubwa Oprah akifunguka juu ya ku consider marriage baada ya kuhudhuria harusi ya Bibi Tina Turnner na uwezekano ku die a NEVER MARRIED WOMAN! Check out what she said!

When asked if she would leave earth as a "never-married" woman, Oprah made her feelings very clear. "Yes," she told Access Hollywood. "Yeah, I think that's my final answer."
"I think that it's interesting that you would ask it because I thought about it again at Tina Turner's wedding. Because Tina was like, ‘Oprah, you need to do this. You need to do it.' I was just thinking, ‘Well, OK, would things really be different?' And no, I don't think so. If you ever interviewed him (Stedman), he would tell you that had we married, we would not be together today, because he's a traditional man and this is a very untraditional relationship."​
Oprah also explained that she couldn't be a wife because the word holds responsibilities she doesn't feel capable of handling.

Sasa huyu bibie ni MTU MWENYE UPEO MKUBWA SANAAA! So ntu wa caliber yake kuyasema maneno haya ilinipa challange kidogo. She could buy or impress any man to marry her but SHE TAKES MARRIAGE SERIOUSLY!

Nilijaribu kuangalia Marriage kwa perspective yake na kweli ni mwendo wa COMMITMENT, SACRIFICE, COMPROMISING, DEDICATION, TRUST, ETC vitu ambavo wasichana wengi wa siku hizi tunavichukulia wepesi wepesi tu baadae vinakuelemea!

Na hata kama umeolewa JE UNALITENDEA NENO WIFE HAKI?????????? Au ndo wife ushahidi? Either way its never too late to change! DO YOUR HUSBANDS PROUD LADIES!!!!!!!
 
Mke mwema hutoka kwa Bwana.

Naye ataijenga nyumba yake mwenyewe. Atamheshimu na kumtii mume wake.

Mke -------- huibomoa nyumba yake mwenyewe.

Amina.

Weekend njema wanaume wenzangu tuliooa wake wema.

Hahahaaaaaa! Siku hizi MLANGO UNAFUNGULIWA na bibi?
 
women need the wisdom to differentiate between, fame, money, richness and 'the need to be married' the list can never substitute the need for a husband! Any way, singles wanaweza wasinielewe maana hawajui wanachokikosa!
 
Lara 1 so u want to be lyke oprah,
Historia ya opra inasema yeye alizaliwa kweny familia maskn, na alivyokua bint mdogo aliwah kutendwa vibaya na wanaume, from that tym paka leo anawachukia wanaume..

Usimwige oprah..
Subiri mume wako atoke kwa bwana
 
Unajua mnapokuwa vijana mnajifariji sana na maneno ya mitandaoni na kampani mlizonazo. Fainali above 45 ambapo wenzako wanapata faraja na ukaribu wa mume na watoto na we uko peke yako. Utalea sana watoto wa ndugu wakikua wanasepa. Utalea sana yatima, wakikua wanaondoka. Utahudhuria kila pub ili upate wa kukupigisha stori mwisho utajikuta kila siku uko peke yako. Utageukia dini na kuzijua ratiba za makanisa yoote mpaka utaingia na yale yanayomwabudu shetani. Na baadaye utarudi kwenye serengeti boys! Huku sasa ndo utakuwa umeelekea mwisho. Lakini yote ni sababu ya jeuri na kujifanya uko dedicated!
 
Ijapokuwa ndoa nyingi zimekuwa majanga, lakini zipo ambazo ni very fine!! hivyo hakuna sababu ya kuogopa vitu ambavyo binadamu wenzio wameweza.
 
Speaking to me in this context means connecting, speaking my language, speaking my thoughts exactly.

Mara nyingi nimekuwa nikisema mimi sina mpango wa kuoa, Oprah kasema kile kile nilichokuwa nakisema kila siku hapa JF.

HUNA MPANGO?

HUJAMPATA?
Kiranga...mbona wadada wazuri hawajaisha!??
 
Last edited by a moderator:
Oprah ni mgonjwa kisaikolojia tangu abakwe alipokuwa Mdogo chuki zake kwa wanaume hazijaisha/ haizitoisha plus fame ndio kabisaaaa! Ni rahisi kwa mwanaume tajiri kuoa, kuliko mwanamke tajiri, sana sana ataishia kuwa na watoto,ila puchu atakuwa anapiga.
 
Oprah ni mgonjwa kisaikolojia tangu abakwe alipokuwa Mdogo chuki zake kwa wanaume hazijaisha/ haizitoisha plus fame ndio kabisaaaa! Ni rahisi kwa mwanaume tajiri kuoa, kuliko mwanamke tajiri, sana sana ataishia kuwa na watoto.

Anae bwana kwa miaka mingi tu ila hajaolewa. Technically ni kama ameolewa ama ni kimada. Anachokiogopa huyu Opra ni yale yaliomtokea JLo. Hataki aje aachane na mume halafu aishie kumtajirisha mtu

images

oprah-and-stedman.jpg

oprahs3.jpg
Oprah+Winfrey+boyfriend+Stedman+Graham+dinner+2GPSyd6VRqXl.jpg
 
Oprah ni mgonjwa kisaikolojia tangu abakwe alipokuwa Mdogo chuki zake kwa wanaume hazijaisha/ haizitoisha plus fame ndio kabisaaaa! Ni rahisi kwa mwanaume tajiri kuoa, kuliko mwanamke tajiri, sana sana ataishia kuwa na watoto,ila puchu atakuwa anapiga.

Ungeweza kuwa na point kama Oprah angekuwa hana mwanamme.

Lakini Oprah ana Steady Man by the name of Steadman.

Hajafunga naye ndoa tu.

Kwa hiyo habari kwamba ana chuki kwa wanaume zinapwaya.

Kwa sababu Steadman ni mwanamme.
 
Speaking to me in this context means connecting, speaking my language, speaking my thoughts exactly.

Mara nyingi nimekuwa nikisema mimi sina mpango wa kuoa, Oprah kasema kile kile nilichokuwa nakisema kila siku hapa JF.

Kwahio hutaoa kwa sababu huwezi kumudu responsibilities za ndoa!? thats what oprah think
 
Unajua mnapokuwa vijana mnajifariji sana na maneno ya mitandaoni na kampani mlizonazo. Fainali above 45 ambapo wenzako wanapata faraja na ukaribu wa mume na watoto na we uko peke yako. Utalea sana watoto wa ndugu wakikua wanasepa. Utalea sana yatima, wakikua wanaondoka. Utahudhuria kila pub ili upate wa kukupigisha stori mwisho utajikuta kila siku uko peke yako. Utageukia dini na kuzijua ratiba za makanisa yoote mpaka utaingia na yale yanayomwabudu shetani. Na baadaye utarudi kwenye serengeti boys! Huku sasa ndo utakuwa umeelekea mwisho. Lakini yote ni sababu ya jeuri na kujifanya uko dedicated!

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!

KUNA WATU KIBAO WALIOLEWA ILA WAKO 35 AND DIVORCED!

KUNA WALIOLEWA HAWAKUBAHATIKA UZAZI

KUNA WAJANE

SO KUWA ALONE SOMETIMES SIO COZ HUKUOLEWA AMA KUOA NI FATE YAKO TU IMEANDIKWA UTAKUWA MPWEKE
 
Lara 1 so u want to be lyke oprah,
Historia ya opra inasema yeye alizaliwa kweny familia maskn, na alivyokua bint mdogo aliwah kutendwa vibaya na wanaume, from that tym paka leo anawachukia wanaume..

Usimwige oprah..
Subiri mume wako atoke kwa bwana

HAAHAHAAAA! Sijasema namwiga Oprah but I DIG WHAT SHE IS TALKING ABOUT!!!!!!!!!!!!

Mi wala sina haja ya kusubiri mume atoke kwa bwana ni kuvulia maji nguo tu!:A S shade:
 
Back
Top Bottom