Hata hub ni uvumi anaovumishwa na wauaji kutumia ma journalists wa nje. Hainiingii akilini, Mbowe angekuwa ana husika hata kwa asilimia 25 was hizi ungekuwa tumesha msahau kwani CCM Mbowe kama Mbowe ni mtu wanayemuhitaji zaidi kuliko CHADEMA yenyewe kama chama kwanza hana bei.Wewe nae unausikiza uvumi uliovumishwa na makamanda uchwara.
Wamejitahidi kwenye madawa wameshindwa, wamevinja Bilicanas, wameharibu green house lakini wapi na hili pia hawatafanikiwa mwenyewe yupo na dereva yupo imekula kwao