Mama Obama
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 1,620
- 1,088
Haya alizungumuza Wakati wa utawala wa Kikwete. Serikali ya Kikwete ilikuwa ikiwauzi wengi ikiwa pamoja na Rais Magufuli. Watanzania tuna tabia ya kutowapinga wakubwa zetu wenye madaraka ndiyo maana Rais Magufuli hakusema kitu. Sasa Rais Magufuli hazungumuzi tu kama huyo jamaa yenu, bali anatenda. Wakati Rais Magufuli anapigania makinikia HUYU anayebwaka hapa alikuwa upande wa Acacia, alikuwa tayari kuwatetea. Upinzani usiwe uadui, lazima tuwe pamoja kupigania mali asili zetu, kwa kwa kumuunga mkono Rais kama anapigania mali asili zetu.Msikilize hapo 2:15 alafu urudie kuandika ulichoandika
Hustahili kumuita mwanao Obama!! Hyo video ni ya mwaka jana wakati mko busy kusoma ripoti ya makinikia ambayo mpaka leo hakuna aliyekamatwa wala pesa iliyolipwa..... Awamu ijayo mtamkumbuka lisu maana naona sahivi ni kama mmeziba maskio kama mlivyoziba kipindi anapinga miswada mibovu na mikataba ya kifisadi.Haya alizungumuza Wakati wa utawala wa Kikwete. Serikali ya Kikwete ilikuwa ikiwauzi wengi ikiwa pamoja na Rais Magufuli. Watanzania tuna tabia ya kutowapinga wakubwa zetu wenye madaraka ndiyo maana Rais Magufuli hakusema kitu. Sasa Rais Magufuli hazungumuzi tu kama huyo jamaa yenu, bali anatenda. Wakati Rais Magufuli anapigania makinikia HUYU anayebwaka hapa alikuwa upande wa Acacia, alikuwa tayari kuwatetea. Upinzani usiwe uadui, lazima tuwe pamoja kupigania mali asili zetu, kwa kwa kumuunga mkono Rais kama anapigania mali asili zetu.
Don't waste my time too with ur useless assumptions that only paperwork matters while all views agitated by lissu the CCM government always term it inciting and waste their time to reply with lengthy press conferences but one irrelevant guy hiding behind a fake ID dares to say only paperwork matters.Don't waste our glorious time. Anybody can say anything anywhere. What matter in the policy making process is the official documentation formally presented in, compiled and endorsed by Parliament. The rest, outside the legislative making process, is bullshit.
Wapelelez wa kimataifa ndo wapi hao? Wana sifa gan? Wanapatikana wapi?Nina uhakika asilimia 2000% kwamba kama ikitokea upinzani wakafanyiana hujuma, njama za mauaji, hiyo kitu itatumiwa vizuri sana na serikali ya CCM kuumaliza upinzani, maana watakuwa wamejikaanga kwa mafuta yao wenyewe. Njaa ya CCM ya Magufuli kufuta upinzani inajulikana. Na mbona CHADEMA walishasema siku nyingi kwamba kama kuna tuhuma kwamba sisi tunahusika na shambulio la Lissu, basi ni nafasi nzuri kuhakikisha hilo kwa kuleta wapelelezi wa kimataifa waje waufumue ukweli. lakini serikali imeminya kimya. kwa hiyo hizi propaganda zinaletwa hapa eti kwa kutokana na "impeccable sources", ni upuuzi mtupu!
Fake newsBy Staff Reporters, Dar es Salaam and Nairobi GMT 22:15
Days after the Opposition Chief Whip in Tanzania, Tundu Lissu escaped assassination attempt, new evidence has come into limelight exposing a massive plot to end his life on internal power struggles.
Local newspapers in Dar es Salaam that were also accessed in Nairobi, cited impeccable sources within the main opposition party, Chadema, narrating the ordeal of how Lissu’s premature interest on party’s top leadership post and ultimately nomination as Chadema’s presidential candidate hastened his own peril. Mr. Lissu is now recovering in a Belgium hospital.
“The main reason for what happened to Mr. Lissu’s life, I can confide, is directly linked to his own political interests. Top party leaders were openly unhappy with what was about to happen; ultimately they chose to thwart his ambitions,” said a member of the Opposition who fled to the ruling party, CM, couple of days ago.
Lissu in a hospital bed. Mr. Mbowe has never visited him since he was transfered to the BelgiumThe MP, Mwita Mwikwambe, revealed the top-notch secret addressing in a public rally in the on-going Parliamentary by-elections. He explicitly, cited how the Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, became furious having learnt that several MPs were on Lissu’s front.
Mr. Mbowe the Tanzanian Opposition Leader“He (Mr. Mbowe) threatened on my live in front a dozen party officials for my decision to support Mr. Lissu. He promised to deal with me and everybody on our chain. Two weeks later, Lissu was lying on a hospital bed fighting for his life from over 30 bullet wounds,” added Mr. Mwikwambe.
Mr. Mbowe has consistently resisted Lissu’s driver from meeting investigators on medical reasons. He has also never visited the MP in hospital since he was transferred from Nairobi to Belgium.
Several top Chadema officials have neither denied nor confirmed the allegations as everyone reached for comment kept the distance.
*Filed from Dar es Salaam, additional reporting by Phil Nathan-Africa Analysis based in Nairobi, Kenya.
Utamwamini mla matapishi km huyuAisee Sasa nawaogopa sana wafuasi wa chadema. Nawaogopa kwasabb hakuna àliye na nia ya dhati ya kuendeleza upinzan bali wapo ili kuuvunja upinzan.
Wananunulika kirahisi sana. Ni wajuvi wa kutunga uongo halafu ukaekwa kama hukumu.
Mwita ww ni wa kusema hayo Leo? Hivi unadhan huo ubunge ukipata utakufa nao?
Shetani ana sura nyingi sana
Na wewe kumbe siyo great thinker kama nilivyokuwa nakuchukulia? Yanawezekanaje haya ya kupita geti lenye zaidi ya askari wanne wenye smg zenye risasi 30 each na pia walinzi wengine wenye magobore yao ushambulie kwa silaha yenye kutoa kelele za kusikika umbali wa km 10 kisha kamera za usalama halafu utoke salama bila walinzi wale kukukamata!CC BAK, Mwanahabari Huru Salary Slip na wengine wote, tulishawaambia mnajipiga risasi wenyewe then mnasingizia, sasa mbivu na mbichi hizo hapo
Ndiyo maana Mungu alimlinda,ili ayaumbuwe haya mashetani.Lissu anawaambia wazi wazi aliyetaka kumuua ni nani,lakini bado wanalazimisha uwongo uwe ukweli.Ujinga ukipilitiza ni shida.CCM bwana...Lissu kasema Muuaji ni Jiwe..na kila mtu anajua muuaji ni Jiwe.
Tumewahi kuwaita SCOTLAND YARD, Wapelelezi wa Uingereza, kuja kutusaidia, nadhani ilikuwa pale Benki Kuu ilipoungua. FBI walikuja Tanzania kupeleleza kuhusu mlipuko ule wa Osama Bin Laden. katika yote mawili, serikali iliwakaribisha na kuwaruhusu wapelelezi hao kuja nchini. sharti wapate kibali cha serikali husika. kwa suala hili na mengineyo kuna wengi wameomba wapelelezi wa kutoka nchi zilizoendelea zaidi kitekinolojia na kiuchunguzi, waje kutusaidia. Na FBI walithibitisha kwamba kama watakaribishwa watafurahi kuja kutoa msaada. lakini Serikali yetu haitaki jambo hilo. sasa kama mnawalaumu CHADEMA wameuana wao kwa wao, na kuna uwezekano wa kupata ushahidi ili muwabane vizuri, inakuwaje mnakataa ofa kama hiziWapelelez wa kimataifa ndo wapi hao? Wana sifa gan? Wanapatikana wapi?
Aaaah! Kumbe hata hawa wapelelz wa Tz wakienda nchi nyngne tofaut na Tz, hawa nao watakuwa n wapelelz wa kimataifa...Tumewahi kuwaita SCOTLAND YARD, Wapelelezi wa Uingereza, kuja kutusaidia, nadhani ilikuwa pale Benki Kuu ilipoungua. FBI walikuja Tanzania kupeleleza kuhusu mlipuko ule wa Osama Bin Laden. katika yote mawili, serikali iliwakaribisha na kuwaruhusu wapelelezi hao kuja nchini. sharti wapate kibali cha serikali husika. kwa suala hili na mengineyo kuna wengi wameomba wapelelezi wa kutoka nchi zilizoendelea zaidi kitekinolojia na kiuchunguzi, waje kutusaidia. Na FBI walithibitisha kwamba kama watakaribishwa watafurahi kuja kutoa msaada. lakini Serikali yetu haitaki jambo hilo. sasa kama mnawalaumu CHADEMA wameuana wao kwa wao, na kuna uwezekano wa kupata ushahidi ili muwabane vizuri, inakuwaje mnakataa ofa kama hizi
Aaaah! Kumbe hata hawa wapelelz wa Tz wakienda nchi nyngne tofaut na Tz, hawa nao watakuwa n wapelelz wa kimataifa...