Hebu kwanza tujiulize, hivi ni gazeti gani hilo lililoandika huo upuuzi??Hapo kwenye nyekundu kunaifanya hii habari iwe na utata. Hivi ni days au months tokea hili tukio litokee?
Unafikiri Scotland yard ni sawa sawa na polisi CCM au TISS? Hawahongeki wala hawapangiki maana hata mama yao Queen na familia ya kifalme inayowapa mshahara haiwaogopi itakuwa Mbowe?Kwa hiyo hadi wachunguzi huru mliwaandaa!
EU inafahamu kila kitu kuhusu shambulizi la Lissu , unaambiwa imerekodiwa kuanzia waliopanga mpaka waliohusika , mnyororo wote umeanikwa , hawa wamekwishajua kimesanuka ndio maana wameamua kutumia makapi kuleta uzushiShetani lililopanga huu unyama ndio liakuwa linahonga wahariri kuandika hizi habari za kipropaganda na uzushi.
Tuna genge la majitu ya hovyo sana!!
Kwahiyo na wewe ni mjanja kati ya wajanja?Subirini dawa iwaingie. Mlidhani hayatajulikana. Yako wazi kweupeeee kila mtu atayashangaaa. Hata kwa Wangwe mlinifanya ni selikari kumbe ni nyie wenyewe. Sisi wajanja tulishawashtukia miaka sasa. Wauwaji wakubwa.
By Staff Reporters, Dar es Salaam and Nairobi GMT 22:15
Days after the Opposition Chief Whip in Tanzania, Tundu Lissu escaped assassination attempt, new evidence has come into limelight exposing a massive plot to end his life on internal power struggles.
Local newspapers in Dar es Salaam that were also accessed in Nairobi, cited impeccable sources within the main opposition party, Chadema, narrating the ordeal of how Lissu’s premature interest on party’s top leadership post and ultimately nomination as Chadema’s presidential candidate hastened his own peril. Mr. Lissu is now recovering in a Belgium hospital.
“The main reason for what happened to Mr. Lissu’s life, I can confide, is directly linked to his own political interests. Top party leaders were openly unhappy with what was about to happen; ultimately they chose to thwart his ambitions,” said a member of the Opposition who fled to the ruling party, CM, couple of days ago.
Lissu in a hospital bed. Mr. Mbowe has never visited him since he was transfered to the BelgiumThe MP, Mwita Mwikwambe, revealed the top-notch secret addressing in a public rally in the on-going Parliamentary by-elections. He explicitly, cited how the Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, became furious having learnt that several MPs were on Lissu’s front.
Mr. Mbowe the Tanzanian Opposition Leader“He (Mr. Mbowe) threatened on my live in front a dozen party officials for my decision to support Mr. Lissu. He promised to deal with me and everybody on our chain. Two weeks later, Lissu was lying on a hospital bed fighting for his life from over 30 bullet wounds,” added Mr. Mwikwambe.
Mr. Mbowe has consistently resisted Lissu’s driver from meeting investigators on medical reasons. He has also never visited the MP in hospital since he was transferred from Nairobi to Belgium.
Several top Chadema officials have neither denied nor confirmed the allegations as everyone reached for comment kept the distance.
*Filed from Dar es Salaam, additional reporting by Phil Nathan-Africa Analysis based in Nairobi, Kenya.
For propaganda purposes. Crap at its best! It makes whoever saying this shit look stupid as fuckf!By Staff Reporters, Dar es Salaam and Nairobi GMT 22:15

Ipo haja ya kusitisha.Na serekali makini inaendelea kufadhiri ukatiri huo kupitia ruzuku.
Shetani lililopanga huu unyama ndio liakuwa linahonga wahariri kuandika hizi habari za kipropaganda na uzushi.
Tuna genge la majitu ya hovyo sana!!
Pole kwa kusosa kumbukumbu. Wakati wa kujadili muswada wa Sheria ya Petroli Julai 2015 (hakuna kitu kinachoitwa muswada wa gesi) Lissu aliogopa kujadili akijenga hoja kuwa uahirishwe hadi Bunge la 11 kwa kuwa ulikuwa mkubwa sana, zaidi ya kurasa mia mbili, kwamba Bunge lisingepata muda wa kutosha kujadili muswada huo kwa ukamilifu na ufanisi, hivyo aliishia kupendekeza serikali kuondoa muswada huo hadi bunge la 11. Bunge la 10 lilijadili muswada husika na kuupitisha kuwa sharia Namba 21/2015 bila kuchangiwa na Lissu. Mapenzi yako kwa Lissu yasikukoseshe kumbukumbuutakumbuka alivyochambua muswada wa gesi,
Viongozi wa CHADEMA ndio wanaozui uchunguzi huru?
Wachunguzi hawajandaliwa, ila maagizo ya mazishi ya Lisu yalishatolewa na mhusika. Jichunguze humo ulimo siyo train inayobeba CCMKwa hiyo hadi wachunguzi huru mliwaandaa!
Sasa kwanini mpaka leo polisi hawamkamati mbowe..... Mkamateni na ushahidi sasa lisu alishatoa namba ya gari na simu mlichoshindwa ni kipiSubirini dawa iwaingie. Mlidhani hayatajulikana. Yako wazi kweupeeee kila mtu atayashangaaa. Hata kwa Wangwe mlinifanya ni selikari kumbe ni nyie wenyewe. Sisi wajanja tulishawashtukia miaka sasa. Wauwaji wakubwa.
Mkuu usijitoe ufaham kuchambua sio mpaka uwe kwenye kikao baada ya kutoka nje aliainisha makosa ya ule muswada A mpaka Z ila wwe hapo na CCM wenzako mlimpuuza na hoja zake alizotoa ndio leo mlitumia kuukosoa muswada ulePole kwa kusosa kumbukumbu. Wakati wa kujadili muswada wa Sheria ya Petroli Julai 2015 (hakuna kitu kinachoitwa muswada wa gesi) Lissu aliogopa kujadili akijenga hoja kuwa uahirishwe hadi Bunge la 11 kwa kuwa ulikuwa mkubwa sana, zaidi ya kurasa mia mbili, kwamba Bunge lisingepata muda wa kutosha kujadili muswada huo kwa ukamilifu na ufanisi, hivyo aliishia kupendekeza serikali kuondoa muswada huo hadi bunge la 11. Bunge la 10 lilijadili muswada husika na kuupitisha kuwa sharia Namba 21/2015 bila kuchangiwa na Lissu. Mapenzi yako kwa Lissu yasikukoseshe kumbukumbu
By Staff Reporters, Dar es Salaam and Nairobi GMT 22:15
Days after the Opposition Chief Whip in Tanzania, Tundu Lissu escaped assassination attempt, new evidence has come into limelight exposing a massive plot to end his life on internal power struggles.
Local newspapers in Dar es Salaam that were also accessed in Nairobi, cited impeccable sources within the main opposition party, Chadema, narrating the ordeal of how Lissu’s premature interest on party’s top leadership post and ultimately nomination as Chadema’s presidential candidate hastened his own peril. Mr. Lissu is now recovering in a Belgium hospital.
“The main reason for what happened to Mr. Lissu’s life, I can confide, is directly linked to his own political interests. Top party leaders were openly unhappy with what was about to happen; ultimately they chose to thwart his ambitions,” said a member of the Opposition who fled to the ruling party, CM, couple of days ago.
Lissu in a hospital bed. Mr. Mbowe has never visited him since he was transfered to the BelgiumThe MP, Mwita Mwikwambe, revealed the top-notch secret addressing in a public rally in the on-going Parliamentary by-elections. He explicitly, cited how the Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, became furious having learnt that several MPs were on Lissu’s front.
Mr. Mbowe the Tanzanian Opposition Leader“He (Mr. Mbowe) threatened on my live in front a dozen party officials for my decision to support Mr. Lissu. He promised to deal with me and everybody on our chain. Two weeks later, Lissu was lying on a hospital bed fighting for his life from over 30 bullet wounds,” added Mr. Mwikwambe.
Mr. Mbowe has consistently resisted Lissu’s driver from meeting investigators on medical reasons. He has also never visited the MP in hospital since he was transferred from Nairobi to Belgium.
Several top Chadema officials have neither denied nor confirmed the allegations as everyone reached for comment kept the distance.
*Filed from Dar es Salaam, additional reporting by Phil Nathan-Africa Analysis based in Nairobi, Kenya.
Sasa kwanini mpaka leo polisi hawamkamati mbowe..... Mkamateni na ushahidi sasa lisu alishatoa namba ya gari na simu mlichoshindwa ni kipi
Mkuu usijitoe ufaham kuchambua sio mpaka uwe kwenye kikao baada ya kutoka nje aliainisha makosa ya ule muswada A mpaka Z ila wwe hapo na CCM wenzako mlimpuuza na hoja zake alizotoa ndio leo mlitumia kuukosoa muswada ule
Tujikumbushe kidogo
muhusika aliyeandaa uchunguzi huru?Wachunguzi hawajandaliwa, ila maagizo ya mazishi ya Lisu yalishatolewa na mhusika. Jichunguze humo ulimo siyo train inayobeba CCM
Msikilize hapo 2:15 alafu urudie kuandika ulichoandikaHe preaches water and drink wine. The same man was on the side of acacia against Tanzania.
Don't waste our glorious time. Anybody can say anything anywhere. What matter in the policy making process is the official documentation formally presented in, compiled and endorsed by Parliament. The rest, outside the legislative making process, is bullshit.ufaham kuchambua sio mpaka uwe kwenye kikao baada ya kutoka nje aliainisha makosa ya ule muswada A mpaka Z ila wwe hapo na CCM wenzako mlimpuuza na hoja zake alizotoa ndio leo mlitumia kuukosoa muswada ule