Opposition Power Woes Now Linked to MP Lissu’s Assassination Plot

Wewe nae unausikiza uvumi uliovumishwa na makamanda uchwara.
Hata hub ni uvumi anaovumishwa na wauaji kutumia ma journalists wa nje. Hainiingii akilini, Mbowe angekuwa ana husika hata kwa asilimia 25 was hizi ungekuwa tumesha msahau kwani CCM Mbowe kama Mbowe ni mtu wanayemuhitaji zaidi kuliko CHADEMA yenyewe kama chama kwanza hana bei.
Wamejitahidi kwenye madawa wameshindwa, wamevinja Bilicanas, wameharibu green house lakini wapi na hili pia hawatafanikiwa mwenyewe yupo na dereva yupo imekula kwao
 
....linahonga wahariri...
Hivi ni mhariri gani mwenye kichwa cha wendawazimu atakubali kuhongwa na serikali wakati anajua hiyo ni 'suicide mission'!? Maana serikali ndiyo inawatafuta watoa na wala rushwa ili iwafunze adabu! Hii haiingii akilini, jaribu kuleta nyingine.
 
Tofauti kati ya CUF na Chadema ni kubwa Cuf wao hupambana kwa visomo na dua na njia za uchawi,Chadema kwa upande mwingine wao assassinarions.

Wapinzani wanatakiwa kuelewa siasa sio chuki,wapige siasa za sera ili wananchi warudishe imani.
Inamaana serikali iko holiday? Yaani watu wanaua halafu haichukui hatua wao kazi yao ni kuwaambia ma journalists? Mbona wauaji wa Msuya wamehukumiwa? Inamaana serikali inamuogopa Mbowe kiasi hicho mpaka wasimlamate?
 
First class holy crap. Cha maana wenye akili tunajua ni jitihada ya awamu ya pili juu ya maisha na TEL. Mungu yule yule hajaenda likizo
 
Kwa hiyo unaamini yale ya Lissu kuwa alimuona Magufuli kabeba smg kisha akamwagia masasi.
Lisu hajasoma hivyo na hawezi kusema hivyo nilichosikia hao wauwaji walivaa kapelo
 
wanaweweseka na mamlaka yao wanayaona kama vile nguo ya kubana , waacheni wabwabwaje mamaaeee!
 
Inamaana serikali iko holiday? Yaani watu wanaua halafu haichukui hatua wao kazi yao ni kuwaambia ma journalists? Mbona wauaji wa Msuya wamehukumiwa? Inamaana serikali inamuogopa Mbowe kiasi hicho mpaka wasimlamate?
Ndugu wa chadema wakiuwana chukua jembe ukalime..ukiwaingilia wanakuzushia wewe.
 
hayo ni mapumbavu tu mbona upelelezi yamegwaya eti!
dunderheads hayo!
 
Shetani lililopanga huu unyama ndio liakuwa linahonga wahariri kuandika hizi habari za kipropaganda na uzushi.

Tuna genge la majitu ya hovyo sana!!
Hebu tujiulize tu maswali mepesi, ni kwanini serikali imeshindwa kukitatua kitendawili hiki kwa kuruhusu wachunguzi wa kutoka nje ya nchi waje wakate mzizi wa fitina??

Swali la pili, ni kwa vipi Jeshi la Polisi liwazuie watu waliokuwa wanasympathize, kuvalia T/Shirt zao za PRAY FOR LISSU, kama hayakuwa maagizo toka kwa Jiwe mwenyewe??
 
Subirini dawa iwaingie. Mlidhani hayatajulikana. Yako wazi kweupeeee kila mtu atayashangaaa. Hata kwa Wangwe mlinifanya ni selikari kumbe ni nyie wenyewe. Sisi wajanja tulishawashtukia miaka sasa. Wauwaji wakubwa.
Mimi nadhani wewe ndiye uliye wazi na siyo wazi tu bali uchi. Serikali iyajue haya yote hata mipango ya mazishi ya Tundu Lisu leo unatoa harufu kwenye viungo visivyohusika. Ndiyo CCM
 
Hivi wewe unasema Lissu anapenda kugombana, je ni Rais gani katika historia ya nchi yetu ambaye amependa kugombana na upinzani hadi kukupyupyu, zaidi ya huyu Jiwe??
 
Duh kampeni ya ccm sasa imevuka mipaka ya nchi baada ya kuona waliobaki hawanunuliki sasa wanajaribu kuwagonganisha vichwa.
Labda wameona ikitokea Kenya itakubalika zaidi.

Hata kama ni kweli. Vyombo vyetu vya usalama viko wapi mpaka wanazidiwa na journalists wa Kenya!!
 
Kwa hiyo hadi wachunguzi huru mliwaandaa!
 
Ni ujinga kabisa hii habari. Jitihada za Mbowe kuokoa maisha ya Lisu zinajulikana. Na hukuna jitihada za hao wengine kumtibu. Hii habari ni ya mtu anayeta
 

Hapo kwenye nyekundu kunaifanya hii habari iwe na utata. Hivi ni days au months tokea hili tukio litokee?
 
Wow, a well written and thought provoking article.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…