What I know ni kwamba there is no short cut in life.
Umenena mkubwa...malipo ambayo watawalipa hao watu ni fedha nyingi sana ambazo mtu mwenye akili angewekeza sehemu nyingine tayari. Hao lengo lao ni kupata members wengi then mwisho wa siku waje na idea nyingine kabisa...U CANT BEAT FACEBOOK MAN KWA MEMBERS WENGI KWA NJI KAMA HII...be crative. Kwanza ukiangalia website yao yenyewe haiko serious sana kimtazamo!!What I know ni kwamba there is no short cut in life.
nielekeze namna ya kuweka hiyo link mkuu. nishatumiwa email lakin namna ya kucopy link yanu na kuipaste kwenye text ndo kumenishinda, embu nipe mbinu mkuu,
Umenena mkubwa...malipo ambayo watawalipa hao watu ni fedha nyingi sana ambazo mtu mwenye akili angewekeza sehemu nyingine tayari. Hao lengo lao ni kupata members wengi then mwisho wa siku waje na idea nyingine kabisa...U CANT BEAT FACEBOOK MAN KWA MEMBERS WENGI KWA NJI KAMA HII...be crative. Kwanza ukiangalia website yao yenyewe haiko serious sana kimtazamo!!