Opportunists. . . .

Lizzy, nadhani kila mtu ana degree ya opportunism. Kinacho tutofautisha ni kua wazi about nia zetu tunapoanza uhusiano. Ukimpenda mtu because of his hability of making you happy, there is a dose of selfishness and opportunism right there... if he fails to make you happy you will fly to a better sky.
Kwangu mimi opportunism mbaya ni pale mtu anapo tumia uongo na fake faces kwa kufikia lengo lake. Ila kama tuko wazi toka mwanzo nampa heshima yake tu kama kawaida, na kama opportunity anayo itafuta kwangu itanisaidia na mimi kuendelea mbele, why not?

RR mimi naongelea wale wanaotumia wenzao huku wenzao wakidhani wamepata kumbe wamepatikana.Mtu ambae anaweza kuniambia live kwanini anataka kuwa na mimi huyo sioni ubaya wake, nikikubali ntakua najua fika what i'm getting myself into hivyo mwishoni siwezi kumlaumu wala kujilaumu.
 
maisha ya mapenzi ni try and erroe hadi upate mnayetoshana.
Na kila shetani na mbuyu wake, waweza tumia watu wengine na ukanaswa na mmoja kiukweli.
Hata opportunist kuna mahali anapenda lkiukweli, labda ndo kanipenda mie. Nampokea tu kwa kweli.

Hiyo ya kusema "labda mimi ndio kanipenda kweli" naiogopa kweli, maana inakaribiana sana na "labda na mimi natumiwa tu".
 
....lol....ama sasa mapenzi yamegeuka adhabu....!
mnaogopana kiasi hiki? pendaneni tu bana, yakiisha unabadilisha muziki!
Mbu kwa hali ilivyo tutaachaje kuogopana?
 
ni watu wachache waliooa/olewa na wapenzi wao wa kwanza.
Kwa hiyo, kuwa kwenye mahusiano na kuachana ni kawaida kabisa

Hiyo ya kusema "labda mimi ndio kanipenda kweli" naiogopa kweli, maana inakaribiana sana na "labda na mimi natumiwa tu".
 
ni watu wachache waliooa/olewa na wapenzi wao wa kwanza.
Kwa hiyo, kuwa kwenye mahusiano na kuachana ni kawaida kabisa

Hamna niliposema tatizo ni kuachana!!
Tatizo ni kuwa kwenye mahusiano na watu ambao wana malengo tofauti kabisa na yale uliyonayo/wanayosema wanayo.
 
RR mimi naongelea wale wanaotumia wenzao huku wenzao wakidhani wamepata kumbe wamepatikana.Mtu ambae anaweza kuniambia live kwanini anataka kuwa na mimi huyo sioni ubaya wake, nikikubali ntakua najua fika what i'm getting myself into hivyo mwishoni siwezi kumlaumu wala kujilaumu.
Sasa huyo opportunist utamjuaje kabla hajakutenda? maana hata kama uliona akimtenda mngine he/she will have a plausible explanation/justification. Alafu people do change, na bila kumpa a chance to prove he/she has changed, itakuaje?
Naelewa swali lako ila kwa upande mngine we can't just boycott them... au?
 
Nadhani mwanzo kabisa nilieleza kwamba nnaowaongelea ni ambao wamewahi kuwatumia wengine na kwasababu moja au nyingine wakaona waseme ukweli, hivyo kuwajua sio tatizo.
Alafu kuwapa nafasi kwanini mimi ndio nijifanye panya au guinea pig? Hiyo experiment ikifail ntamlaumu nani?
 
Pia Lizzy kuna wengine wanatake advantage! Kama ndo bibie/mkaka ulikiri (au aliambiwa ulitenda hilo) basi ndo inageuka fimbo ya kukuchapia.... kidogo tu utaambiwa ndio maana ulimtenda your Ex,matokeo yake ukiamua kumtema zinakuja zile za Kunguru hafugiki au si aliambiwa!

Yuko mdada aliolewa na mumewe baada ya kuachika kwa mumewe wa kwanza ambaye alimchafua kwa maneno ya uwongo kuliko. Alipolewa na yule wa pili maneno yakazagaa mchafu, yule kamshindwa we utamweza,kunguru yule n.k

Matokeo yake ikawa mumewe mpya anamkosea kusudi, akisema tu anakumbushiwa, niliambiwa we hufugiki, mara ndio maana mwenzangu alishindwa....ilmradi mdada wa watu aliishi kwa shida mpaka siku alipoamua kama nMbwai, Mbwai du bwana... Akayamwaga manyanga.

Sasa hivi mume anapita viambazani akilalama kuwa katendwa anajuta kutowasikiliza waonyaji and yet kwa mlango wa nyuma anatafuta suluhu na mkewe!

So si mara zote heartbreaker anakuwa na nia ya kubreak them hearts
 
Hahahaha, nimekuelewa sana Lizzy, but people do change. Alafu kama nilivo sema sote ni opportunists. Kuna kitu 'opportunity cost' hapo. the risk of not daring(and not knowing if it was worth it) vs the risk of exposing yourself... Kweli watu kama hao ni rahisi kuwadharau, kuchukia tabia zao etc, but some of them do change, and sometimes you need one of them so much, unaamua ujaribu tu, convinced that YOU cannot be cheated kirahisi. lol
 
Hahahaha, asante kwa kunifurahisha dearest.
Nwy hiyo ya kusingiziwa na maneno ya uongokutumika kama fimbo kwakweli sikubaliani nayo. Haipendezi, wala sio haki.

Ila fikiria mtu ambae amekubali kuolewa/oa mtu ambae ndoa yake ilivunjika baada ya yeye kutokua mwaminifu, akimtenda na huyo mpya mambo ya zamani hayatolazimika kuibuka kweli?
 
RR nakubaliana na wewe kuhusu wote kuwa opportunist to some extent, ila pale mtu anapokua tayari kumkanyaga mwenzake alimradi aishie upande wa pili bila kujali maumivu atakayomsababishia mwenzake lazima wengine tuogope.

Hahahaha, haya bwana.Hiyo inakua kama wale walioiba wake/waume wa wenzao wanapoamua kuwekana ndani kabisa bila kujua kwamba what goes around comes around. Siku ya mwisho wanaishia kutupiana maneno ya "ndio maana nilikuchukua kwa mumeo/mkeo, ndio maana uliachwa mimi nikakuchukua, kunguru hufugiki wewe" and the likes.
 
Life is too short, live today as there might be no tomorrow for you.Trust your instincts , get out of a relationship should you feel unsafe,& always be a fair player
 
Too short compare to what?
 
Ukichunguza sana mwishoni utachagua koloma, kama vipi unatia timu tu.. The end will justify the means
 
Hahahaha, asante kwa kunifurahisha dearest.
Nwy hiyo ya kusingiziwa na maneno ya uongokutumika kama fimbo kwakweli sikubaliani nayo. Haipendezi, wala sio haki.

Ila fikiria mtu ambae amekubali kuolewa/oa mtu ambae ndoa yake ilivunjika baada ya yeye kutokua mwaminifu, akimtenda na huyo mpya mambo ya zamani hayatolazimika kuibuka kweli?

Hah ni kweli mamii kuwa akikutenda the same lazima uyakumbuke ya kale ila ndo hivyo tena.

Ila si inawezekana pia mtu kuchange kabisa?
 
Back
Top Bottom