Oppo simu Bhana!

Mkuu oppo toleo lipi?
 
Ulitumia King Root kwa malengo Gani Kuroot simu Au Ku unlock simu !!? Na kama ni Ku Root au Ku unlock je ulikuw na ujuzi wowote kupitia hiyo king Root!!!? Au uliishia ile sehemu wanakwambia ulipie dola kadhaa
Nilitaka ni root simu tu
 
Ukiwa na pesa za kutosha na ukawa mjanja basi huwezi kutumia tecno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo neno mjanja umeniweza ,nilitaka kukugomea kuwa wapo wengi wanamiliki pesa lakini simu zao ni tecno na infinix.mfano hapa mtaani nawajua kama watatu ni walimu wastaafu ndani ya miezi kama 3 tu lakini simu zao ni infinix mmoja anamiliki Samsung A03. Unapowaambia kuwa hawana simu wanaona kama umewatukana
 
Hahaha
 
Hayo Maelezo yanatosha?
 
ivi Ni kweli infinix zinatengenezwa kwajili ya Africa Tu sio international. ? Naomba anaefahamu aniambie ukweli huu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…