Oppo simu Bhana!

Oppo gani unatumia mkuu? Mi nina A9 hapa ya 2020 ila kuhusu suala la kuibiwa ni kweli kuifanya simu ya Oppo iliyoibiwa itumike tena ni mtihani mkubwa sana.
 
unge kua ume tumia sim za aina zote sawa sasa ndo mara ya kwanza kutumia oppo tayri uzi
umesha wahi tumia
OnePlus + ?
Redmi ultra/ Series/Notes/Mi mix je ?
Huawei P series?
samsung s/series/note series?
iphones je?

kama ume tumia zote hizo apo juu ndo uje utufungulie uzi kua oppo ni noma
 
Inategemea na Oppo lakini security yake ni kali sana kuliko hayo masamsung! Oppo kuifanya itumike tena sio mchezo inaweza ikakutoka ata laki 3
Mimi sjaona security kali ya oppo,,,na kadri tools zinavyokua nyingi skuizi,,,,tayar baadhi ya model unatoa lock bila hata testing point... tafuta unlock tool utazibutua oppo vzuri tu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Oppo gani labda? Mi natumia Oppo A9 ya mwaka 2020 embu jaribu kufatilia kama unaweza itumia tena iyo simu
 
Hahaha kweli ni Sawa mtu apande toka itel amiliki tecno na infinix atajiona kaula kumbe hajui kuna simu bora zaidi
Nimetumia smart yangu ya Kwanza HTC .. nikaja Nokia Tecno Samsung but itel na infinix ndio sijagusa kabisa. That's why nkafanya utafiti mkubwa nikagundua oppo ni Baba Yao nikanunua oppo A 54 ya wife nikanunua na oppo A15s ambayo natumia Mimi.
 
Hapo kidogo iPhone na oppo kwenye security zinashabiaana
 
Nimetumia smart yangu ya Kwanza HTC .. nikaja Nokia Tecno Samsung but itel na infinix ndio sijagusa kabisa. That's why nkafanya utafiti mkubwa nikagundua oppo ni Baba Yao nikanunua oppo A 54 ya wife nikanunua na oppo A15s ambayo natumia Mimi.
Kwa upande wa samsung ulitumia midrange pia Akina A series ambao hawana tofauti na tecno.je umewahi kujaribu high end?
 
Na nilijaribu kuweka King root imekataa
 
Oppo gani labda? Mi natumia Oppo A9 ya mwaka 2020 embu jaribu kufatilia kama unaweza itumia tena iyo simu
Unaitumia tena bila Shida,tool easy jtag,njia isp pinout,,,nishakutana na oppo kadhaa,,,ni kweli sio nyepesi sana,,,lakin sio zakushindikana ,,,nyingi za katikati hapo zinatoka kwa testing point...uchawi ni knowledge na tools basi

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Nitaitafuta maana Nina tecno siielewi selfie 24megapixel baada ya wiki tatu napiga selfie zinakuwa 3megapixel na hata ukijiangalia unaona Huyu sio Mimi mkuu bei ya hiyo oppo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimetumia smart yangu ya Kwanza HTC .. nikaja Nokia Tecno Samsung but itel na infinix ndio sijagusa kabisa. That's why nkafanya utafiti mkubwa nikagundua oppo ni Baba Yao nikanunua oppo A 54 ya wife nikanunua na oppo A15s ambayo natumia Mimi.
Sasa oppo a15s ni simu ? Mbona ni lowend moja ya kawaida sana?

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Basi wanao weza Ku tekenya oppo wapo wachache Sana bongo at watano hawafiki
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…