Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 375
- 707
Screen size?Nitanunua nasikia kuna yenye 108megapixel, 8GB ram na 128GB storage na battery 5200.
Hii inanifaa
Tecno Ni Chombo Tofauti KabisaNunua simu zote lakini TECNO sio simu.
We jidanganye Tu babu ukiiwasha Tu unaonekana Hadi point uliosimama.Oppo gan hiyo mtu akiiba anaitupa mkuu!!? Kama niliweza kutekenya simu yenye Samsung email na pass ikarud kama mpya sembuse hiyo..... Simu peke yenye sifa unayoisemea hapo ni iPhone kwenye icloud tu kwa mtazamo wangu
Unakamatika haraka ulieiiba bora uiweke ndani Tu
Unakamatikaje?Unakamatika haraka ulieiiba bora uiweke ndani Tu
Find my device
Mnajisifia na midrange nyie jamaa,je siku mkitumia high end hasa flagship mtasemaje
NoWe jamaa kwaiyo hiyo find my device inakuja na simu Za oppo au sio!!?
IMEI namba huwezi badili kwenye oppoHiyo simu yako ukipigwa pale chuga stendi hata hiyo find my device itakwambia huwezi ipata tena... Pale RAIA wanakubadilishia email vizuri tu sema access baadh ya apps inakuwa inazingua