GE2025 'Operesheni Majimaji' ya ACT Wazalendo kufika Kigoma

GE2025 'Operesheni Majimaji' ya ACT Wazalendo kufika Kigoma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Naibu katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo akiwa pamoja na timu ya wanachama wa ACT jana kuelekea Kigoma ziara ya Operesheni majimaji iliyozinduliwa jumapili Juni 29,2025

Operesheni majimaji imepangwa kufanyika nchi nzima ikiwa ni kuanzia Julai 1 hadi Julai 15, 2025 ikilenga kuwaamsha watanzania kulinda kura zao kuelekea uchaguzi mkuu October 2025

Soma pia: ACT Wazalendo imezindua rasmi Operesheni Majimaji kuelekea Uchaguzi mkuu October 2025

Chanzo: actwazalendo_official
 
Jamaa hawakusikia maelekezo aliyokua anapewa mkuu wa mkoa mpya anaekwenda mbeya,
Mkalinde hizo kura kama mnao ubavu
 
Back
Top Bottom