Operator wa Excavator na Walinzi wa usiku.

Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
610
733
Nafasi za kazi...

1) Operator wa Excavator.

Anahitajika operator wa excavator, wheeled aina ya CAT. ambae yupo tayari kuingia kwa shift, za masaa manane mpaka 12, Shifts zinaweza kuwa za usiku au mchana.

Eneo la kazi kwa sasa ni Kibaha, Misugusugu lakini kama kawaida ya excavators, kuna uwezekano wa kuhama-hama.

2) Wanahitajika walinzi wa usiku.

Eneo la kazi ni Misugusugu, Kibaha.

Kazi mbaya si mchezo mwema.

Wasiliana nami kwa fursa hizo 0625249605 Abdul Ghafur.
 
Hivi Kozi za kuendesha Mitambo kazi ya ujenzi huwA zinafundishwa wapi?? Ukiachana na Handling equipments za bandari
 
Nafasi za kazi...

1) Operator wa Excavator.

Anahitajika operator wa excavator, wheeled aina ya CAT. ambae yupo tayari kuingia kwa shift, za masaa manane mpaka 12, Shifts zinaweza kuwa za usiku au mchana.

Eneo la kazi kwa sasa ni Kibaha, Misugusugu lakini kama kawaida ya excavators, kuna uwezekano wa kuhama-hama.

2) Wanahitajika walinzi wa usiku.

Eneo la kazi ni Misugusugu, Kibaha.

Kazi mbaya si mchezo mwema.

Wasiliana nami kwa fursa hizo 0625249605 Abdul Ghafur.
Mkuu ninao maoparator wangu wawili, niko nao hapa tunasota, kimsingi mimi ni mkandarasi kazi zimedoda, plz waweza washika mkono.....
 
Kwanza napenda kutoa Shukran nyingi kwa wote waliotupigia simu, tutumia msgs na Shukran nyingi zaidi ziwaendee wale waliojitutumua na kuja Misugusugu.

Kisha tunawafahamisha kuwa tumeshapokea maombi mengi na tunasitisha maombi mapya kwa sasa ili tuwafanyie majaribio waliojitokeza.

Tutawatangazia tena kinachofatia.

Ahsanteni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom