Operation ya JK imeendeshwa kinyume

Operation ya JK imeendeshwa kinyume

home is the best place,they should return to their motherland tanzania belongs to tanzanians no one else.
 
Mtoa mada unachanganya madesa! Unamiomba Kikwete awasaidie halafu unamlaumu na kumtukana kwamba anawafanyia kisasi! Unadhani utasaidiwa nani hapo na Lugha yako. Cha muhimu mnatakiwa muwahi kuondoka mrudi kwenu ili madhira zaidi yasiwakute. Huyo mnayemtukana na kumdharau ndio mwenye nyumba,na mwenye nyumba akisema uondoke lazima uondoke!. NB: Mhamiaji haramu si tusi,tafsiri yake kwa kiingereza ni ILLEGAL IMMIGRANT-Neno linalotumika dunia nzima na hawajalitunga watanzania. Ndio maana barozi wa Rwanda tz na maafisa wake wapo,Haruna Niyonzima yupo Yanga na anapiga mpira bila matatizo,wanyarwanda wanaoishi ki halali kule mikocheni wapo na wala hawasumbuliwi, n.k.
 
Nyumba za wahamiaji (nachelea kutumia haram, binadamu hawezi kuwa haram) zimechmwa, mifugo inaibiwa na familia zinatenganishwa kule Kagera.

Kigoma na Geita kimyaaa! Ukweli ni jk hakuagiza hivyo. Alisema: MIFUGO IONDOLEWE HIFADHINI, NG'OMBE WALIOINGIZWA WARUDISHWE WALIKOTOKA, WAHAMIAJI WALIOPEWA VIBARI NA WATENDAJI WA VIJIJI WARUDISHWE, NA WANAOINGIA KIHOLELA WAFUATE UTARATIBU.

Hajase waliozaliwa hapa na wana mifugo yao waondoshwe haraka, hajasema wenye vibari halali vichanwe na watimuliwe, hajasema wana vijiji wavamie nyumba na kuzichoma eti ni za wahamiaji haram, na kula mifugo yao.

JK, inabidi aingilie kati manake anaonekana analipiza kisasi kwa Kagame, kumbe hakuwa na nia mbaya kiongozi wa watu.

Kama ni mwanakijiji halali mwenzao kwa nini wakuchomee nyumba? Nadhani wanatambuana hawa ndio maana wanazichoma. Huenda waliwachoka ndio maana wanajichukulia sheria mkononi japo si sahihi kujitwalia sheria mkononi.
 
na wewe mwenzao nini?kama ndio tokeni jamani tumewachoka.mlikuja na godoro tu mnaondoka na ng'ombe,gari huoni tumewasaidia vya kutosha?nendeni mkabanane huko huko wanafiki nyie.

cha ajabu wewe uko mjini lakin una godoro 1 na unaishi chumba cha kupanga.
si bora wao wachapakaz.wewe unaonesha ulivyo mzembe na kazi yako kubwa unayofanya ni kulalamika tu.
piga kazi kuondoka kwa wahamiaji akutobadilisha maisha yako.
 
home is the best place,they should return to their motherland tanzania belongs to tanzanians no one else.

na watanzania walioko nje? wahamiaj siku zote ni mahustler uenda sehemu nyingine kufata amani au kutafuta maisha.
tena Tanzania ina wahamiaj haramu wengi sana nje ya nchi na ndio wanaowatumia pesa mkilia njaaa.
ukitembea sana nje aya mambo ya wahamiaj haramu utaona kawaida tu.
ni pm nikutumie muariko utoe tongotongo na kusafisha macho uone watanzania wenzetu wanaowatumia ela kwa money gram or western union wanavyo hustle uko nje tena bila kuwa na vibali
 
ukifuatilia hizo nyumba wanazosema zimechomwa utakuta ni zile za wafugaji za make shift za nyasi ambazo mtu anahama muda wowote!!na kama unarudi kwenu nani ataishi hapo!!!dawa ni kuchoma ili usiwe na tamaa ya kurudi tena!!!!
 
na watanzania walioko nje? wahamiaj siku zote ni mahustler uenda sehemu nyingine kufata amani au kutafuta maisha.
tena Tanzania ina wahamiaj haramu wengi sana nje ya nchi na ndio wanaowatumia pesa mkilia njaaa.
ukitembea sana nje aya mambo ya wahamiaj haramu utaona kawaida tu.
ni pm nikutumie muariko utoe tongotongo na kusafisha macho uone watanzania wenzetu wanaowatumia ela kwa money gram or western union wanavyo hustle uko nje tena bila kuwa na vibali

Rwanda si imeendelea kuliko Tanzania? sasa kwa nini wahamiaji haramu watoke nchi iliyoendelea wazamie kwenye nchi isiyo na maendeleo? Hakuna haja ya kulalamika wenzenu wamesaidiwa kuondokana na shida za Tanzania ili wakafaidi matunda ya Rwanda yaliyoletwa na Kagame.
 
Hivi Dar nayo si mkoa wa mpakani au? Wachina , Wahindi , wasomali etc . Kova toa updates umefukuza wangapi
 
Nyumba za wahamiaji (nachelea kutumia haram, binadamu hawezi kuwa haram) zimechmwa, mifugo inaibiwa na familia zinatenganishwa kule Kagera.

Kigoma na Geita kimyaaa! Ukweli ni jk hakuagiza hivyo. Alisema: MIFUGO IONDOLEWE HIFADHINI, NG'OMBE WALIOINGIZWA WARUDISHWE WALIKOTOKA, WAHAMIAJI WALIOPEWA VIBARI NA WATENDAJI WA VIJIJI WARUDISHWE, NA WANAOINGIA KIHOLELA WAFUATE UTARATIBU.

Hajase waliozaliwa hapa na wana mifugo yao waondoshwe haraka, hajasema wenye vibari halali vichanwe na watimuliwe, hajasema wana vijiji wavamie nyumba na kuzichoma eti ni za wahamiaji haram, na kula mifugo yao.

JK, inabidi aingilie kati manake anaonekana analipiza kisasi kwa Kagame, kumbe hakuwa na nia mbaya kiongozi wa watu.

wewe ni nani unaemlisha Rais maneno??
 
Rwanda si imeendelea kuliko Tanzania? sasa kwa nini wahamiaji haramu watoke nchi iliyoendelea wazamie kwenye nchi isiyo na maendeleo? Hakuna haja ya kulalamika wenzenu wamesaidiwa kuondokana na shida za Tanzania ili wakafaidi matunda ya Rwanda yaliyoletwa na Kagame.

tatizo la rwanda ni ardhi,eneo lao dogo kama mkoa wa Kagera,tatizo ni ardhi wakat tanzania eneo liko bwerere
 
Yaani naungana Jk "wanalao jambo waseme" kwani Jk yeye alisema wahamiaji haramu hakutaja taifa gani haijalishi wewe mkenya, mnyarwanda, mganda madhali huna permit ya kukaa tanzania waondoke sasa iweje ishu wanyarwanda wanyarwanda inaonyesha jinsi gani hawa watu ni problem humsikii mkenya, mrundi, msomari au mganda analalamika ila mnyaranda tu, tena hum jf wamejaa sana hata kiswahili chao we angalia michango yao viswahili vya hukuhuko.

Kwa wanayowafanyia ndugu zetu huko mipakani kuna mikoa mingine hawasafiri bila escot ya polisi kuna mapori wamejificha huko kwa kweli jk kwa hili nakupongeza tena litolewe taarifa kama wameondoka wangapi wamekaidi na wamechukuliwa hatua gani.
Walitambue hao wanaowatetea humu jf sisi watanzania ni wakarim sana, wafuate taratibu wataishi kwa amani bila kubughudhiwa.
 
Muache hata yeye jk atapelekwa ICTR kwani hiyo ni genocide hakuna ajabu kwa jk kuwalenga hao watutsi,kwanza kawaita haram,kingine yeye mwewe ni muhutu wa burundi,hakuna cha ajabu hapo,tutegemee mengi,tanzania wanacheza na damu za watu bila kuelewa implication yake hapo baaday

urudi kwenu ndo mkapange na PK hizo mbinu. Mwenye nyumba hakutaki wewe unalazimisha nini??Nyie ni haramu na hamfati taratibu wala amri za mamlaka husika na sasa mnataka kutibua amani yetu hapa maziwa makuu, tunaona Eastern Congo madudu yenu mlokwisha fanya mnataka yaendeleza na hapa Bongo.
Thanks JK,God bless Tanzanian's and their land.
 
Eeeh bana hao jamaa ni ruthless ukisikia jinsi walivyokua wanawafanyia wenyeji baada ya kupata vibali fake kwa kuhonga usingeliwaonea huruma. Halafu wana hila nyingi nadhani ndio maana nguvu inatumika. Bila hivyo huwezi kuwatoa hao. Pamoja na hivyo sio kama naunga mkono wale wasiokua wakorofi wafanyiwe vitendo vya ubabe au kuhujumiwa haki zao.

Wasiokuwa wakorofi wameishaondoka mapema walio baki wote ni wakorofi.
 
Nyumba za wahamiaji (nachelea kutumia haram, binadamu hawezi kuwa haram) zimechmwa, mifugo inaibiwa na familia zinatenganishwa kule Kagera.

Kigoma na Geita kimyaaa! Ukweli ni jk hakuagiza hivyo. Alisema: MIFUGO IONDOLEWE HIFADHINI, NG'OMBE WALIOINGIZWA WARUDISHWE WALIKOTOKA, WAHAMIAJI WALIOPEWA VIBARI NA WATENDAJI WA VIJIJI WARUDISHWE, NA WANAOINGIA KIHOLELA WAFUATE UTARATIBU.

Hajase waliozaliwa hapa na wana mifugo yao waondoshwe haraka, hajasema wenye vibari halali vichanwe na watimuliwe, hajasema wana vijiji wavamie nyumba na kuzichoma eti ni za wahamiaji haram, na kula mifugo yao.

JK, inabidi aingilie kati manake anaonekana analipiza kisasi kwa Kagame, kumbe hakuwa na nia mbaya kiongozi wa watu.

Hivi wewe bado hujaondoka tu?!,unapiga domo hapa!
 
tatizo la rwanda ni ardhi,eneo lao dogo kama mkoa wa Kagera,tatizo ni ardhi wakat tanzania eneo liko bwerere

Binadamu kweli kazi waswahili wanasema MSITIRI ANAEKUSITIRI, sisi hawa jamaa kwa miaka mingi tumeishi nao kama ndugu zetu bila kujali kama wapo kihalali au kivyume chake, wakiugua wanatibiwa kwenye hospitali zetu hizi hizi kama sisi tunavyotibiwa. Suala la uharibifu wa mazingira tumelivumilia vizuri tu, lakini kitendo cha PK kujifungia Kampala na akina Kenyata kupanga mipango ya kuihujumu bandari ya Dar kilituuma sana kama watanzania.
 
Kama ni mwanakijiji halali mwenzao kwa nini wakuchomee nyumba? Nadhani wanatambuana hawa ndio maana wanazichoma. Huenda waliwachoka ndio maana wanajichukulia sheria mkononi japo si sahihi kujitwalia sheria mkononi.

Mkuu hata huko kwao mifugo wamekataa kuipokea, hawataki waingie na mifugo. Wanajua mifugo itavyozua kizazaa kwa wakulima, sisi ndo tulijifanya mishumaaa.
 
Muache hata yeye jk atapelekwa ICTR kwani hiyo ni genocide hakuna ajabu kwa jk kuwalenga hao watutsi,kwanza kawaita haram,kingine yeye mwewe ni muhutu wa burundi,hakuna cha ajabu hapo,tutegemee mengi,tanzania wanacheza na damu za watu bila kuelewa implication yake hapo baaday
Hahaaa.....ataenda kwanza kagame na mu7 huko ICTR kwani ndio waliosababisha genocide huko rwanda na kuwaua wahutu wengi na watutsi!....sasa TZ inacheza na damu za watu hapo kwa vipi? kuambiwa mrudi kwenu ndo kucheza na damu za watu? nyie kwenu kila asiye mtutsi basi ni mhutu...kweli mna laana ya ubaguzi na chuki na itawamaliza! alafu aliwalenga watutsi kwa sababu gani?? yeye Mh Rais alisema "wahamiaji haramu" hakutaja jina la any ethnic group as you try to put it here!...
 
Acha uchochezi JK alieleweka vizuri labda tu ulilalia masikio. Wafuate taratibu mbona unawasemea? na kama na wewe ni mhusika fuata taratibu na kingine Kagera wamechoshwa na security instability miaka nenada rudi!!!!!!!!!!!!!111
Nami nashindwa kuelewa kwanini baadhi ya wachangiaji wanashindwa kumuelewa rais Kikwete. Kwa yeyote aliyesikiliza hata sehemu ya hotuba yake au kusoma magazeti kesho yake ujumbe wake ulikuwa wazi nao ni- KUPAMBANA NA CRIMINAL ELEMENTS. Hapa ni kupambambana na wahalifu na uhalifu. Kwa wanaofuatilia kwa karibu matatizoya uhalifu unaotokana na uhamiaji haramu hasa katika mikoa ya Kagera, Kigoma, Katavi na kwa kiasi fulani Tabora wataku wanaelewa vyema hali halisi ilivyo kwa kipindi kirefu.
 
Kama ni mwanakijiji halali mwenzao kwa nini wakuchomee nyumba? Nadhani wanatambuana hawa ndio maana wanazichoma. Huenda waliwachoka ndio maana wanajichukulia sheria mkononi japo si sahihi kujitwalia sheria mkononi.
wenzetu wa mikoa ya kigoma, geita na kagera wanawajua vyema hao wahamiaji haramu na tabia zao, ndo mana labda kweli wanawachomea nyumba ili WAWAHI KURUDI kwao! madhala wanayoyapata wenzetu huko mpakani mwa burundi, rwanda na uganda ni makubwa, ngoja tu hao watu warudi kwao sasa
 
Back
Top Bottom