Operation ya JK imeendeshwa kinyume

Operation ya JK imeendeshwa kinyume

kwanza wewe hata ulikua hujui kama kulika na wanyarwanda tanzania umevijua juzi tu,hakuna aliye kataa kuondoka bali muache ukatili,acha watu waondoke kwa amani na mali zao,hivi watu wanachomewa manyumba na kupigwa mishare kisa eti ni haramu,just jiweke nafasi yao wewe utajisikiaje? hakujua kama ungezaliwa tanzania labda ungekua mnyarwanda ungejisikiaje kama yange kutokea,ugomvi wa pk na jk hauwezi kuwa kigezo cha kuwanyanyasa hao watu,hawana haja yakun'gang'ania nchi za watu wasiowataka ndio maana wanaondoka kwa amani,je umesikia muhamiaji kagombana na mtanzani katika zoezi hili? unafikiri hawawezi hilo? ila ni watu wanao heshimu watanzania,therefore waacheni waondoke kwa amani bila kuwapora mali zao.

Kwa taarifa yako ninawafahamu kila kitu nimekaa nao,nimesoma nao na ndio maana nasema muondoke tu nyie sio watu ni wanyama miaka 5 niliokaa nanyi ilitosha kunidhihirishia unyama wenu.
 
Muache hata yeye jk atapelekwa ICTR kwani hiyo ni genocide hakuna ajabu kwa jk kuwalenga hao watutsi,kwanza kawaita haram,kingine yeye mwewe ni muhutu wa burundi,hakuna cha ajabu hapo,tutegemee mengi,tanzania wanacheza na damu za watu bila kuelewa implication yake hapo baaday

Unavyo ongea kwa kashfa hivi, kamwe hutosikilizwa huo Utumbo wenu.
Kashfa zenu ni hulka yenu. Kuzani mnajua kuliko jamii nyingine. / Kagame anawaongoza kidikteta hakuna uhuru kama huu. Tanzania kuna uhuru tele, hata wewe wanufaika na uhuru wa Kikwete, ndio maana comments zako zinasomeka hapa JF. Hebu jaribu uhuru huu kwenu kama ujaitwa fdlr.
 
Mkuu mwambie huyo.hawa jamaa wanadharau sana na kujiona wao ni wamaana sana.tumewabeba vya kutosha warudi kwa dikteta wao.
 
Tena hii oparesheni ifike mpaka katavi kule mwese wapo kibao wanaenda kubebana usiku kwa usiku.na waliopo huku dar nitaanza kuwataja hata kwa majina na ofisi mlizopo ili mkamatwe kirahisi.
 
wewe sema tu,kesho utakua kizimbani ukisema ulidanganywa na viongozi,eti haikua niya yako,acheni roho za kutu,kwanini msiwape muda waondoke kwa uzuri? hivi wange kua watanzania ndio wanafurushwa rwanda au uganda ungeona jinsi povu lingekua linawatoka wabongo,furahini kwamba mungu aliwapa aridhi kubwa lakini kumbuka aliye wapa ndiye aliwanyima hao mnao wafukuza,na anauwezo wa kuutwaa huo udongo kwani hamukuonyesha hekima ya kuwasitili watu wake,mimi sina mengi nchi niyako labda kesho hawa wazungu wanaweza kukaa nakurudia mipaka ukajikuta rwanda kwani hii mipaka iliwekwa na wazungu,kwahiyo usijisikie sana kwa kumnyanyasa mwafrika mwenzako eti kwasababu ya ardhi,hilo nidongo tu sisi wote ni wateja wa mita mbili udongoni tuta iacha,fikiria wakati wahukumu unakuja ulizwa uliyotendea binadamu mwenzako,yani nimeshangaa kuona jinsi watu wanamiroho yakutu namnahii sikutegemea kwa mtanzania kuwa na fikira kama zako.

kwani watanzania huko rwd wanafanya ujambazi kama hawa wanaotimuliwa!!!
 
Muache hata yeye jk atapelekwa ICTR kwani hiyo ni genocide hakuna ajabu kwa jk kuwalenga hao watutsi,kwanza kawaita haram,kingine yeye mwewe ni muhutu wa burundi,hakuna cha ajabu hapo,tutegemee mengi,tanzania wanacheza na damu za watu bila kuelewa implication yake hapo baaday
MUKAMASIMBA RUTAJUMBUKIRWA murutongore , mnapoteza muda wenu hapa kulalamika na kupayuka hovyo. Hivi kwanini uone umeonewa ukiambiwa rudi nyumbani kwenu? Kuna uonevu gani hapo!

Pili, najua kiswahili ni tabu kwenu ngoja niwasaidie. Haram ni neno linalomaanisha batili(batili siyo tusi au sehemu za siri ni neno) likiwa na maana kischokubalika, kilichokinyume, kilichokatazwa n.k. Hao wahamiaji haramu si watu haramu ni wahamiaji haramu. Huwezi kusema haramu bila kuwa na neno lililotangulia.
Hata watanzania wanoishi bila kibali Rwanda ni wahamiaji haramu, na wachina wanaoishi Kenya bila kibali ni wahamijai haramu.

Tatu, kinachofanyika ni kurudisha wahamiaji haramu si wanyarwanda. Balozi wenu ambaye ni mnyarwanda bado yupo Dar, laiti ingekuwa ni kuwarudisha wanyarwanda angeshatimuliwa hata kabla. Kuna wanyarwanda wana vibali vya ukaazi, wapo na wala hakuna tatizo. Hawa wasiojulikana ndio wanatakiwa warudi kwao.

Nne, haiwezekani mtu akae hapa miaka 50 au zaidi, ajenge nyumba, aoe na apate watoto halafu hataki kutafuta kibali cha ukaazi. Huo ni ujinga na gharama zinazotokana na hayo ni zake wala si za Tanzania.

Tano, wakati wanakuja hawakusema wamekuja na nini, hivyo hakuna uhalali wa kusema wamedhulumiwa.
Tutajuaje kuwa mali walizochuma ni matokeo ya kuua ndugu zetu wasafiri na wale wa Kagera? Je, huyu unayedai amedhulumiwa,amedhulumiwa na nani wakati hajulikani ni nani hapa nchini

Sita, unapojaribu kutisha kuwa Tanzania inacheza na damu za watu, huko kutapa tapa.
Anayecheza na damu zenu ni Kagame. Yeye alitumia muda mwingi kwenye mambo ya kilouuzi.
Angekuwa na nia njema angekuwa ameshaongea na wenzake jinsi ya ku settle raia wake.
Uganda wanasema hapana, Kenya hawana habari. Nendeni mkamwambie Kagame anadhulumu damu zenu si Tanzania.

Mwisho, hebu elezeni ni haki gani ambayo wahamiaji haramu wamenyimwa?
Je mngekuwa ninyi mngetumia utaratibu gani kwa wahamiaji haramu?
Kwanini wakimbie Rwanda kwa Kagame mnakosema kuna maendeleo?
Ni nani mbaya wenu Kagamea aliyewatimua au Tanzania inayoomba mrudi kwenu?
Kwanini watu wa Kagare wadhulumiwe na Wanyarwanda muone sawa lakini wakiambiwa warudi kwao mnaona wanaonewa? Haki ya mnyarwanda kumfukuza mtu wa kagera kapewa na nani?

Kwa ushauri msipoteze muda wenu hapa, nendeni Rusumo mkasaidie wahamiaji haramu kuvuka mpaka.
Wala msidhani mnaweza kutisha watu, na kadri mnavyosema ndivyo mnatia hasira tukikumbuka unyama mliofanyia ndugu zetu wa Kagera na sisi wasafiri..
 
Last edited by a moderator:
Unavyo ongea kwa kashfa hivi, kamwe hutosikilizwa huo Utumbo wenu.
Kashfa zenu ni hulka yenu. Kuzani mnajua kuliko jamii nyingine. / Kagame anawaongoza kidikteta hakuna uhuru kama huu. Tanzania kuna uhuru tele, hata wewe wanufaika na uhuru wa Kikwete, ndio maana comments zako zinasomeka hapa JF. Hebu jaribu uhuru huu kwenu kama ujaitwa fdlr.

Nawewe unanichekesha hao wanao tolewa kucha ni pk anafanya hivyo? Kama dikteta ni jk,mara wapinzani mabomu,wa mtwara kupigwa,pk kukataa ushauri wake ndio kufurusha wanyarwanda,sasa huo sio udikteta?najua akini target atanitoa kucha tu.
 
Na povu litakutoka sana ila ndio hivyo hapa tz sio kwenu nyie si mmeamua kuuana kama mbuzi na ndio mkamalizane vizuri.Watanzania hatutaki tena sifa za kijinga za kusaidia watu wasio na shukrani.
 
NGURUVI,acha vitisho vyako wewe mwenyewe uko unachungana na mali za wanyarwanda ili uzipore,eti inawezekana mali za wizi? basi watanzania mungeisha,nyie mkiona mtu anawapa ukweli mnakimbilia ooh mnyarwanda.rudi kwenu,wewe kwetu unapajua? tulia mimi niko against waporaji na wanyanyasaji wa watu wasio kua na hatia,kwani walikuambia urai ulikua wakila mhamiaji? wengi waliomba nakusubiri mpaka wa leo,na wengine wakawa wanapewa vibali vya mwaka na juzi walinyimwa,wewe unafurahishwa na kufukuzwa kwa binadamu wenzako na kuwaita haramu,uhurumiwe sana.
 
Nakumbuka Kipindi cha Mkapa Wahamiaji Haramu waliteka Mabasi,wakaua,wakawavulisha nguo abiria wote wakawashusha wakiwa UCHI,Wakawaimbisha na Wimbo wa T.o.T- Mtaji wa Masikini . . . ! Jamani Wanyarwanda?
 
Akili kubwa daima itatawala na sioni dalili ya watanzania kujitambua.Hata waamerika wamefanikiwa sana kumiliki uchumi wa dunia hii kwa mbinu za hali ya juu. Na katika kila mgogoro duniani,kuna maslahi ya mwamerika ambapo mwenye rasili mali nyingi ndie atagharimia vita na hapa iwapo itatokea,gharama za silaha tutazipata kwa bei kubwa mara nne zaidi ya atakayopewa adui kwa hiyo tutamchangia kununua silaha atakazotupigia na baadae hata deni lake anaweza kufutiwa na sie kwa vile wana sehemu ya kujilipa watakomaa tulipe hadi senti ya mwisho!Akili kubwa itaendelea kutawala kwani ni kama kipaji vyovyote inaweza kujigeuza na ikakubalika!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kujitambua kwetu ndio huku sasa kwa kuwafukuza waharamia hawa wa kinyarwanda.
 
NGURUVI,acha vitisho vyako wewe mwenyewe uko unachungana na mali za wanyarwanda ili uzipore,eti inawezekana mali za wizi? basi watanzania mungeisha,nyie mkiona mtu anawapa ukweli mnakimbilia ooh mnyarwanda.rudi kwenu,wewe kwetu unapajua? tulia mimi niko against waporaji na wanyanyasaji wa watu wasio kua na hatia,kwani walikuambia urai ulikua wakila mhamiaji? wengi waliomba nakusubiri mpaka wa leo,na wengine wakawa wanapewa vibali vya mwaka na juzi walinyimwa,wewe unafurahishwa na kufukuzwa kwa binadamu wenzako na kuwaita haramu,uhurumiwe sana.
Nguruvi3:
MUKAMASIMBA
RUTAJUMBUKIRWAmurutongore , mnapoteza muda wenu hapa kulalamika na kupayuka hovyo. Hivi kwanini uone umeonewa ukiambiwa rudi nyumbani kwenu? Kuna uonevu gani hapo!

Pili, najua kiswahili ni tabu kwenu ngoja niwasaidie. Haram ni neno linalomaanisha batili(batili siyo tusi au sehemu za siri ni neno) likiwa na maana kischokubalika, kilichokinyume, kilichokatazwa n.k. Hao wahamiaji haramu si watu haramu ni wahamiaji haramu. Huwezi kusema haramu bila kuwa na neno lililotangulia.
Hata watanzania wanoishi bila kibali Rwanda ni wahamiaji haramu, na wachina wanaoishi Kenya bila kibali ni wahamijai haramu.

Tatu, kinachofanyika ni kurudisha wahamiaji haramu si wanyarwanda. Balozi wenu ambaye ni mnyarwanda bado yupo Dar, laiti ingekuwa ni kuwarudisha wanyarwanda angeshatimuliwa hata kabla. Kuna wanyarwanda wana vibali vya ukaazi, wapo na wala hakuna tatizo. Hawa wasiojulikana ndio wanatakiwa warudi kwao.

Nne, haiwezekani mtu akae hapa miaka 50 au zaidi, ajenge nyumba, aoe na apate watoto halafu hataki kutafuta kibali cha ukaazi. Huo ni ujinga na gharama zinazotokana na hayo ni zake wala si za Tanzania.

Tano, wakati wanakuja hawakusema wamekuja na nini, hivyo hakuna uhalali wa kusema wamedhulumiwa.
Tutajuaje kuwa mali walizochuma ni matokeo ya kuua ndugu zetu wasafiri na wale wa Kagera? Je, huyu unayedai amedhulumiwa,amedhulumiwa na nani wakati hajulikani ni nani hapa nchini

Sita, unapojaribu kutisha kuwa Tanzania inacheza na damu za watu, huko kutapa tapa.
Anayecheza na damu zenu ni Kagame. Yeye alitumia muda mwingi kwenye mambo ya kilouuzi.
Angekuwa na nia njema angekuwa ameshaongea na wenzake jinsi ya ku settle raia wake.
Uganda wanasema hapana, Kenya hawana habari. Nendeni mkamwambie Kagame anadhulumu damu zenu si Tanzania.

Mwisho, hebu elezeni ni haki gani ambayo wahamiaji haramu wamenyimwa?
Je mngekuwa ninyi mngetumia utaratibu gani kwa wahamiaji haramu?
Kwanini wakimbie Rwanda kwa Kagame mnakosema kuna maendeleo?
Ni nani mbaya wenu Kagamea aliyewatimua au Tanzania inayoomba mrudi kwenu?
Kwanini watu wa Kagare wadhulumiwe na Wanyarwanda muone sawa lakini wakiambiwa warudi kwao mnaona wanaonewa? Haki ya mnyarwanda kumfukuza mtu wa kagera kapewa na nani?

Kwa ushauri msipoteze muda wenu hapa, nendeni Rusumo mkasaidie wahamiaji haramu kuvuka mpaka.
Wala msidhani mnaweza kutisha watu, na kadri mnavyosema ndivyo mnatia hasira tukikumbuka unyama mliofanyia ndugu zetu wa Kagera na sisi wasafiri.
.

Nimetisha wapi? Nijibu hapo nilipo bold, vinginevyo kaa kimya
 
siumalizie tu mkuu eti wapigwe tu! unajua tatizo la watanzania tangia mpate uhuru hapajawahi kutokea vita ya wenyewe kwa wenyewe ili ujue taabu yake,hawa watu unaosema wapigwe waliisha teseka sana,sasa wanasema ukumfungia paka ndani yanyumba ukaanza kumpiga utaona ukali wake,ujue yeye nibinadamu kama wewe amekubali kuondoka kwa upole sasa wewe eti wapigwe? mmmh,mungu akuhurumie sana,kwani hujui ulisemalo.

Nani alikwambia TZ ni bwana huruma? Tulishasaidia sana sasa mtuache tupumue. Kama MUNGU atatuhesabia ubaya kwa hili acha iwe hivyo maana hamna shukrani. Mliyowafanyia ndugu zetu kule mpakani yanatosha kama raia wamefika mahali wanachinja mifugo yenu ni uthibitisho tosha kuwa hamkuwa na mahusiano mazuri! MTAPIGWA TU! NA MIMI NASEMA, MPIGWE TU!
 
Alikuwa wapi siku zote asiwatimue mpaka walipogombana na kagame?
huyu mtu ana kisasi cha kike hata kama alikuwa na nia safi ila kwa kipindi hiki inaonekana ni kisasi.hii nchi itavurugwa sana tumeshindwa kudumisha usalama wa ndani na sasa twazidi kuongeza maadui wa nje.big up mkuu
 
Kujitambua kwetu ndio huku sasa kwa kuwafukuza waharamia hawa wa kinyarwanda.
hakuna anayezuia wanyarwanda kuondoka ila msiwaibie na kuwapora.pili watendaji wa tanzania wana kawaida ya wizi, tumeyaona mara nyingi mfano wakati wakiwahamisha wafugaji kilosa.waende kwao lakini wasiibiwe mali zao.
 
Unavyo ongea kwa kashfa hivi, kamwe hutosikilizwa huo Utumbo wenu. I
Kashfa zenu ni hulka yenu. Kuzani mnajua kuliko jamii nyingine. / Kagame anawaongoza kidikteta hakuna uhuru kama huu. Tanzania kuna uhuru tele, hata wewe wanufaika na uhuru wa Kikwete, ndio maana comments zako zinasomeka hapa JF. Hebu jaribu uhuru huu kwenu kama ujaitwa fdlr.
labda ni kweli kumbe uhuru ni wa kikwete yeye aliutoa wapi uhuru mkuu.wanyarwanda waondoke lakini ili la uhuru lirekebishe
 
hakuna anayezuia wanyarwanda kuondoka ila msiwaibie na kuwapora.pili watendaji wa tanzania wana kawaida ya wizi, tumeyaona mara nyingi mfano wakati wakiwahamisha wafugaji kilosa.waende kwao lakini wasiibiwe mali zao.

Wao wametuibia na kutuua mara ngapi?
 
Na povu litakutoka sana ila ndio hivyo hapa tz sio kwenu nyie si mmeamua kuuana kama mbuzi na ndio mkamalizane vizuri.Watanzania hatutaki tena sifa za kijinga za kusaidia watu wasio na shukrani.
mzee kwa mazingira yeyote hii sio kauli nzuri mkuu, ukichukulia jinsi hali ilivyo nchini.
 
Back
Top Bottom