wewe sema tu,kesho utakua kizimbani ukisema ulidanganywa na viongozi,eti haikua niya yako,acheni roho za kutu,kwanini msiwape muda waondoke kwa uzuri? hivi wange kua watanzania ndio wanafurushwa rwanda au uganda ungeona jinsi povu lingekua linawatoka wabongo,furahini kwamba mungu aliwapa aridhi kubwa lakini kumbuka aliye wapa ndiye aliwanyima hao mnao wafukuza,na anauwezo wa kuutwaa huo udongo kwani hamukuonyesha hekima ya kuwasitili watu wake,mimi sina mengi nchi niyako labda kesho hawa wazungu wanaweza kukaa nakurudia mipaka ukajikuta rwanda kwani hii mipaka iliwekwa na wazungu,kwahiyo usijisikie sana kwa kumnyanyasa mwafrika mwenzako eti kwasababu ya ardhi,hilo nidongo tu sisi wote ni wateja wa mita mbili udongoni tuta iacha,fikiria wakati wahukumu unakuja ulizwa uliyotendea binadamu mwenzako,yani nimeshangaa kuona jinsi watu wanamiroho yakutu namnahii sikutegemea kwa mtanzania kuwa na fikira kama zako.