Operation VUA GAMBA VAA GWANDA imeishia wapi?

Hahaha hahaha hii campaign ya ccm kuvuana magamba inachekesha sana :majani7: hivi mukama yuko wapi tena?
 
Mh!nyinyiem bana?Kuvua gamba ikageuka kuwa tindikali style,kung'oana kucha,macho na hata kuua hata kwa mabom WAPINGA UGAMBA!!!"Sikio la kufa utaskia eti wanajitakia,wachonganishi na mtu kama nape anaweza kukuambia 'WAMEJILIPUA'.-----------;;ujuha.
 
Kwani huoni mikutano yao inavokuwa nyomi?
Wenzenu wako kidigital zaid
They always change tactics na wamefanikiwa.
Hawaimbi wimbo mmoja ndio maana ya mAbadiliko.
To win a rally you have to act like an amoeba..hana
umbo maalumu kuruhusu adui kumgungua kirahisi.
 
tulishuhudia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA siku si chache walianzisha operation vua gamba vaa gwanda wakizunguuka baadhi ya mikoa lakini sasa kimyaa naw wamekuja na msamiati mpya eti M4C, swali la kujiuliza operation vua gamba vaa gwanda haikudumu muda mrefu, je ilikuwa ni usanii? mchezo wa kuigiza? mnatufanya tuamini maneno ya NAPE kuwa watu hao mliokuwa mnawataja oooh miia mbili mara elfu, mara 5000 kuwa wamejiunga na CDM ilikuwa ni uwongo na kama ilikuwa ni kweli kwanini isiendelee?

HAHAHAHAHAHAHAHA UMENIFURAHISHA SANAAA. OPERATION VUA GAMBA ILIANZISHWA NA CCM NA IKAWASHINDA. NAPE, SITA, ANA KILANGO, OLE SENDEKA WALIKUWA KATIKA TIMU ILIYOZUNGUKA MIKONI KUJINADI WATAYAVUA MAGAMBA YOTE NDANI YA CCM. SASA KAMA CCM
CHADEMA WALIJARIBU KUWASAIDIA CCM KUVUA MAGAMBA KWA KUANZISHA OPERATION, ''operation vua gamba vaa gwanda''. WAKASHTUKA MAPEMA BAADA YA KUGUNDUA NYOKA NI NYOKA HATA AKIJIVUA MAGAMBA BADO ATABAKIA KUWA NYOKA.. REFER GAMBA LIITWALO ''SHIBUDA'' LINAVYOICHEFUATA CHADEMA. NDIO MAANA WAKAAMUA KUYAANZISHA M4C. VIPI KIONGOZI UNAONGEA KAMA MWANA-GAMBA
 
Chadema kila siku inakuwa New brandy so lazima kubadilisha mfumo wa majina kulingana na wakati.

Sasa usishangae kusikia jina lingine kabla ya 2015 ila jiulize majina hayo yanaleta mafanikio kwa wakati husika?

Toka analogia wewe hamia digitali uendane na zama za kizazi kipya.

Chadema ndo mpango mzima.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
tulishuhudia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA siku si chache walianzisha operation vua gamba vaa gwanda wakizunguuka baadhi ya mikoa lakini sasa kimyaa naw wamekuja na msamiati mpya eti M4C, swali la kujiuliza operation vua gamba vaa gwanda haikudumu muda mrefu, je ilikuwa ni usanii? mchezo wa kuigiza? mnatufanya tuamini maneno ya NAPE kuwa watu hao mliokuwa mnawataja oooh miia mbili mara elfu, mara 5000 kuwa wamejiunga na CDM ilikuwa ni uwongo na kama ilikuwa ni kweli kwanini isiendelee?

Unatatizo kichwani, hiyo operation ilikuwa ni sehemu ya M4C!
 
tulishuhudia chama cha
demokrasia na maendeleo CHADEMA siku si chache walianzisha operation
vua gamba vaa gwanda wakizunguuka baadhi ya mikoa lakini sasa kimyaa naw
wamekuja na msamiati mpya eti M4C, swali la kujiuliza operation vua
gamba vaa gwanda haikudumu muda mrefu, je ilikuwa ni usanii? mchezo wa
kuigiza? mnatufanya tuamini maneno ya NAPE kuwa watu hao mliokuwa
mnawataja oooh miia mbili mara elfu, mara 5000 kuwa wamejiunga na CDM
ilikuwa ni uwongo na kama ilikuwa ni kweli kwanini isiendelee?

huu ugonjwa wa kuogopa kuandika ukweli umekuanza lini? unafikiri cdm wana mlango mmoja wa fahamu km walivyo ccm? juzi walifanya mikutano 16 kwa siku moja huko klm, leo cdm wapo kimanga, kesho tarime, aluta continua! kampe kwanza pole sheikh wa watu!
 
Back
Top Bottom