Operation UKUTA imedhoofisha zoezi la ukaguzi wa vyeti

REAGAN C.MABOGO

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
1,269
1,007
Zoezi hilo lilivuma kwa kasi ya ajabu. Wengi tulisubiri tuambiwe ni watanzania wangapi wamo serikalini wakiwa na vyeti feki. Kwa hali inavyoenda (UKUTA) sidhani kama idara nyingine kama polisi, jwtz, magereza na majeshi mengine zitaguswa. Nashauri ukaguzi wa vyeti katika majeshi uanze ndipo zifuate idara nyingine.
 
Ukimfukuza mwanajeshi kazi ukamwacha mtaani anarandaranda jua umezalisha jammbaz mmoja,maana hao watu ni wamoja sema job description ndo zinawatenganisha
 
Back
Top Bottom