iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Nashauri Taasisi za elimu zinazohusika na vyeti,zipewe nguvu ya kisheria kuingia ofisi yoyote na kufanya ukaguzi wa vyeti kila baada ya muda fulani.
Pia nashauri iwe sharti la kisheria kwa wizara, idara na taasisi,kabla ya kuajiri iwasilishe vyeti vya muhusika Baraza la mitihani,
Pia nashauri taasisi zinazotoa leseni kwa wataalamu,kama Bodi ya wakandarasi,Bodi ya wafamasia,Bodi ya Nurses and Midwives,Bodi ya Aktekcha, na Mahakama chini ya Jaji Mkuu,wasitoe leseni kwa wanachama wao mpaka wawasilishe vyeti vyao kwa ajili ya ukaguzi,ukitaka leseni ya kufanya kazi ya kitaaluma,lete vyeti kwanza.Hii itawaingiza watu wa sekta bbinafsi pia ambao ni vigumu kuwanasa kwa kuwa hawajaajiriwa serikalini