Operation UKUTA: Hit n run tactic

...unaakili za nguruwe pori wewe.
Nimetafakari akili ya nguruwe na jinsi nyama yake inavyopendwa na ccm ikiwemo wewe hasa roast na ndizibaada ya kupokea yale malipo ya siku maarufu kama buku saba na hali mliyo nayo sasa naishia kutabasamu tuu
 
 
Inawezekana kuwa imefanikiwa kujijenga ila kumbuka imepunguza imani ya jeshi la polisi/vyombo vya ulinzi kwa wapinzani. Ndiyo maana tundu lissu alisema mahabusu si pahala pazuri. Nyie mashabiki mtaona sawa ila viongozi wenu wanakipata cha moto.

Samahan ndugu, hivi huwa wewe ni ke au me? Off course contribution yako huwa inaendana na ya jinsia flani, picha ya profile inanitatanisha huku ikikaa kama ya ke au me aliyeharibika, samahan tena
 
mbowe asije kukimbia south Tena wakati vindakindaki wakivunjwa viuno
Ni afadhali kuwa ccm huku unawaza CHADEMA kuliko kuwa CHADEMA huku unawaza ccm.....
Tafakari usiharakishe kunijibu
 
Nimejaribu kuitaja ccm kwenye hii post lakini wapi...mwamko ni almost zero...! Kweli kila chenye mwanzo hakikosi mwisho
 
dah kwa kujiko....ba.. kaka????
 

Absolutely this is "heat and run tactic" and it is working. Unfortunately, serekali imeingia mtegoni bila kujijua. Wanatumia mamilioni ya hela za walipakodi kuitangaza Chadema/ukawa. Kwa bahati mbaya, hata Rais Magufuli amegeuka kua katibu mkuu wa Chadema. Ziara yake yote aliyo ifanya hakuna siku hakuwatangaza/kutaja wapinzani. Hakukua na sababu yeyote rais kuwapa upinzani kipaumbele kwenye hotuba zake alizo toa. Wapinzani hawajafanya chochote kutangaza vyama vyao, hata bungeni hawahuwepo. Serekali na chama tawala, vimechukua jukumu hilo bila kujua.
 
Inawezekana kuwa imefanikiwa kujijenga ila kumbuka imepunguza imani ya jeshi la polisi/vyombo vya ulinzi kwa wapinzani. Ndiyo maana tundu lissu alisema mahabusu si pahala pazuri. Nyie mashabiki mtaona sawa ila viongozi wenu wanakipata cha moto.
Lazima mfurahie hilo maana msaada wenu ni vyombo vya ulinzi na si wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…