Operation UKUTA: Hit n run tactic

Subiri tarehe 1 mwezi wa 9 utawaona police wakiandamana kila mahali penye ofice za chadema nchini kote wakiwa na vifaa vyote vya kulipua maji ya washa bunduki kisa UKUTA
 
Duuuuu leo!
hapana hii hoja ni ya Msingi, mimi najua UKUTA kama maandamano na mikutano haviwezi kufanyika lakin Propaganda yao imefanikiwa maana kila mahali inajadiliwa haijalishi inajadiliwa vipi, iwe heri au kwa shari lkn wameanikiwa kwa kiasi kikubwa
 
Na kitendo cha police kutumia nguvu nyingi kisa UKUTA siku hiyo dunia nzima itaonyesha namna democrasia inavyominywa kwa vya upinzani
 
Mshana, kwahiyo T. r. h 01/09 hutuandamani?
 
tofautisha kati ya presidency na president.
kama kinachosemwa na wapinzani mmekipachika jina la "matusi" basi "matusi" hayo yako aimed at only one of these, not both. you and I both know what it is...
 
Inawezekana kuwa imefanikiwa kujijenga ila kumbuka imepunguza imani ya jeshi la polisi/vyombo vya ulinzi kwa wapinzani. Ndiyo maana tundu lissu alisema mahabusu si pahala pazuri. Nyie mashabiki mtaona sawa ila viongozi wenu wanakipata cha moto.

Ndiyo mahabusu si pahala salama, lakini hukujutia kwenda huko na hajaapa kwamba hatakwenda tena huko. Alichowahi sema Lissu ni kuwa hatanyamazishwa awe gerezani au uraiani.
 
Katika Sanaa za martial arts hasa zile za kichina kuna mchezo unaitwa Tai Chi. Wakati wa mapigano dhidi ya mtaalam anayetumia style ya Tai Chi, hapo adui huwa anapigwa kwa kutumia mbinu na nguvu zake mwenyewe.
Ndicho ninachokiona katika hiki kitu kiitwacho UKUTA...nguvu na mabavu ya serikali ndiyo yanayotegemewa sana katika kufanikisha Malengo ya UKUTA.
 

Elezea ni matusi gani katukanwa Rais na wengine tuweze kupima uwezo wa uelewa wa wapinzani.
 
Mkuu ni tusi gani alilo tukanwa Magufuli?
 
Very well said vital power/vital force
 
Hehehe mimi na mshana hua tuna bif akiongelea uchawi tu, lakini tukija kwenye siasa naunga mkono, umempa majibu mazuri sana huyo mtanzania bila fujo, ni ngumu kujizuia maana jf watu wanaboa sana, kila kitu wao ni matusi tu bila kutoa argument yoyote, mtu hataki kuelewa wala kusikiliza basi tu kwa kua ni mjinga kichwani.
 
Mnafikiri sana lakini mwishowe mnaishia kupata ombwe la kisiasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…