kinacho shangaza zaidi raisi wa nchi ya kidemokrasia anapokuwa juu ya sheriaPamoja na hayo yote lakini twende mbele turudi nyuma hoja ya CHADEMA kupinga kitu kinachoitwa "UDIKTETA UCHWARA". Ni hoja yenye mashiko sana. Haiwezekani hata kidogo katika nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi kiongozi mkuu wa nchi kinyume kabisa cha katiba aliyoapa kuilinda apige marufuku mikutano ya vyama vya siasa mpaka mwaka 2020. I don't see any tangible reason to derogate the right of freedom of assembly (freedom to meet together) at this time.
Hutumii jina halisi, Mshana ni jina la ukoo na wengi waalitumia, andika jina halisi kama Le Mutuz. Nikiibamba nukuu yako ya kukashifu nitakukwoti, it won't take long...!Nitashukuru ukinionyesha japo sentence moja ya kashfa...natumia jina halisi naandika kwenye mstari unaokubalika kisheria, kwahiyo siwezi kumkashifu yoyote kwasababu ya siasa au nje ya siasa
Dhamira kuu ya UKUTA ni kujipambanua kisiasa kisera na kimkakati, hata maandamano yasipokuwepo ujumbe wake utakuwa tayari umeshavuka milima na mabonge na mawinguMshana nakuheshimu na taaluma yako ile ya TV asili,najua umeshachungulia na kuona tarehe mbili itakuwaje,basi nikuombe japo utoe hints kidogo ya siku hiyo itakavyokuwa na kama ukuta utahimili vishindo!
Ndio jina langu...post zangu kwenye jukwaa la siasa zipo nyingi sana ....ikitokea ninekashifu nitaomba radhi bila kifichoHutumii jina halisi, Mshana ni jina la ukoo na wengi waalitumia, andika jina halisi kama Le Mutuz. Nikiibamba nukuu yako ya kukashifu nitakukwoti, it won't take long...!
Kwa hiyo kwa kifupi tunaweza kusema lengo lake ni kutafuta "KIKI"!?Dhamira kuu ya UKUTA ni kujipambanua kisiasa kisera na kimkakati, hata maandamano yasipokuwepo ujumbe wake utakuwa tayari umeshavuka milima na mabonge na mawingu
Vipi SANGARA, M4C ,PIIIPOOOZZZ!Kwenye uwanja wa vita kuna mbinu nyingi za kumshinda adui...ukiona adui yako analeta ubabe unabadili mbinu....hapa unaachana na ile ya piga nikupige
Vita ya mtaa kwa mtaa ndio vita ngumu zaidi kwakuwa hapa silaha nzito zile za kwenye uwanja wa vita hazitumiki tena.
Vita ya mtaa kwa mtaa ni vita inayohitaji werevu na mbinu makini..wengi hushindiwa hapa....Kwenye ulingi wa kisiasa nako kuna vita...Kuna vita ya
Sera, Propaganda, Vipaumbele, Kukosoana, Vita ya kumchosha mpinzani wako nk nk
DHIMA YA UKUTA
Dhima ya UKUTA ni kujijenga kisiasa, kujitangaza zaidi, kusikika zaidi na kumpoteza mpinzani
Ni neno lililoandaliwa kimitego, likiwa na utata fulani kwa tafsiri za kihuni, na mpinzani bila kujitambua akanasa kwenye huo mtego
Kwa kukosoa operation nzima na kukekeli neno UKUTA mpinzani hajui kuwa anasaidia kukitangaza chama buuuree...mkakati wa operation nzima umetolewa hadharani karibia miezi miwili kabla ya kufanyika..miezi miwili ni kipindi mkakati kisiasa kummaliza mpinzani
Sasa hivi ni UKUTA kila kona, mpinzani baada ya kufanya yake ni yeye na UKUTA kila uchao...Operation UKUTA imemlazimisha mpinzani akajinadi upya kwa wananchi kama yuko kwenye kampeni, mbinu ya kumchosha na kummaliza nguvu na kumpotezea muda
Operation UKUTA imevuta hisia za wengi na kuwaingiza wengi kwenye mjadala wakiwemo taasisi mbalimbali za serikali na NGOS tofauti
Sasa hivi mpinzani hasikiki tena, bali bila kujitambua amekuta anachezeshwa ngoma juani huku mwenzake akiwa pembeni kivulini kajaa vicheko
Operation UKUTA hata isipofanyika lakini kwenye medani za siasa na propaganda itakuwa imefanikiwa sana. ..
Mshana Jr, umeongea vizuri. Hili kundi la mudawote, Lizaboni, rutashobolwa and Co. Ltd, ni watu wa ajabu. Hawajui kuwa haya yote yanayodaiwa kufanywa na JPM ni matokeo ya upinzani, bila upinzani JPM would not have bothered to say all this. Huyu mudawote na kampuni yake wanatukana sana upinzani. Mimi sioni wapi Upinzani ulimtukana JPM, sana sana ni kumkosoa ili arekebishe.Mudawote tuwe wakweli ukiamua kuingia kwenye siasa kubali yote...hebu ona kinachoendelea marekani kwasasa, siasa hazina adabu,hazina staha hazina heshima
Na hili wewe ni mmojawapo umeshawatukana sana hao uliowataja matusi makubwa tu si mara moja bali mara nyingi umewakashifu kuwabeza na kuwakejeli, ni wakubwa zako hawa watu na familia na ndugu na majukumu yao...
Kwasababu tu ya kutofautiana mitazamo ya kisiasa ukaamua kujivua utu wako ukisaidiwa na ID bandia kuwatusi hasa....na shida yako kubwa huzungumzii mfumo, hujadili hoja bali mara zote umepeleka kashfa kejeli na matusi kwa hawa watu...hii pia ni siasa lakini siasa chafu siasa majitaka
Niangalie mimi tunatofautiana mitazamo lakini sijawahi kufanya kama ufanyavyo wewe na kundi lako...
Namkosoa Magufuli lakini simvunjii heshima yake wala utu wake kwakuwa nje ya cheo chake yule ni mkubwa wangu ni kaka yangu nk...nakushauri sana jizuie dhihaka kejeli na matusi tubishane na kupingana kwa hoja tena zenye mashiko...upinzani sio uadui
mshana jr, tatizo siasa wanazoendesha upinzani si za kujenga. Hivi wewe unadhani kwa nini lowasa aliwaita chadema ni wanaharakati??? Hivi unadhani lowasa anafurahi hii hali??? Hivi lowasa unadhani anataka kushindana na rais??? Kama ulimsikiliza siku za karibuni alisema rais anafanya vizuri......, ila akina mbowe, lissu etc wao kila kukicha wanamtukana na kumdharau na kutaka kupambana na mamlaka ya rais, ilhali hawajui mamlaka yake, na ndiyo maana uadui umeongezeka kumbuka unapmtukana rais unatukana watanzania na vyombo vyake vyote
Hazikufa bali ni mahitaji ya nyakati...! Na kila moja lengo lilifikiwa kwa zaidi ya asilimia 80 ndio maana leo hii huoni jipya kwa ccm zaidi ya CDM , huwezi kuwa na slogan moja miaka yote huo utakuwa ni upuuzi na ujuha wa kiwango chakeVipi SANGARA, M4C ,PIIIPOOOZZZ!
Sasa UKUTA!
Slogan zote zimekufa kifo cha mende!
Kwenye uwanja wa vita kuna mbinu nyingi za kumshinda adui...ukiona adui yako analeta ubabe unabadili mbinu....hapa unaachana na ile ya piga nikupige
Vita ya mtaa kwa mtaa ndio vita ngumu zaidi kwakuwa hapa silaha nzito zile za kwenye uwanja wa vita hazitumiki tena.
Vita ya mtaa kwa mtaa ni vita inayohitaji werevu na mbinu makini..wengi hushindiwa hapa....Kwenye ulingi wa kisiasa nako kuna vita...Kuna vita ya
Sera, Propaganda, Vipaumbele, Kukosoana, Vita ya kumchosha mpinzani wako nk nk
DHIMA YA UKUTA
Dhima ya UKUTA ni kujijenga kisiasa, kujitangaza zaidi, kusikika zaidi na kumpoteza mpinzani
Ni neno lililoandaliwa kimitego, likiwa na utata fulani kwa tafsiri za kihuni, na mpinzani bila kujitambua akanasa kwenye huo mtego
Kwa kukosoa operation nzima na kukekeli neno UKUTA mpinzani hajui kuwa anasaidia kukitangaza chama buuuree...mkakati wa operation nzima umetolewa hadharani karibia miezi miwili kabla ya kufanyika..miezi miwili ni kipindi mkakati kisiasa kummaliza mpinzani
Sasa hivi ni UKUTA kila kona, mpinzani baada ya kufanya yake ni yeye na UKUTA kila uchao...Operation UKUTA imemlazimisha mpinzani akajinadi upya kwa wananchi kama yuko kwenye kampeni, mbinu ya kumchosha na kummaliza nguvu na kumpotezea muda
Operation UKUTA imevuta hisia za wengi na kuwaingiza wengi kwenye mjadala wakiwemo taasisi mbalimbali za serikali na NGOS tofauti
Sasa hivi mpinzani hasikiki tena, bali bila kujitambua amekuta anachezeshwa ngoma juani huku mwenzake akiwa pembeni kivulini kajaa vicheko
Operation UKUTA hata isipofanyika lakini kwenye medani za siasa na propaganda itakuwa imefanikiwa sana. ..
Mkuu slogan zenu ni za kunogesha hadhara tu.Hazikufa bali ni mahitaji ya nyakati...! Na kila moja lengo lilifikiwa kwa zaidi ya asilimia 80 ndio maana leo hii huoni jipya kwa ccm zaidi ya CDM , huwezi kuwa na slogan moja miaka yote huo utakuwa ni upuuzi na ujuha wa kiwango chake
ccm wakati wa uchaguzi ilikuwa na slogan ya hapa kazi tuu, baada ya uchaguzi wakaja na slogan ya kutumbua majipu(kiuhalisia haikuwa ya ccm bali ya bob)
Currently Slogan ya ccm kama chama tawala ni ipi,? I mean iliyokubaliwa na vikao ni ipi? Kimsingi hakuna! Kwanini? Usinijibu hapa usinijibu leo hifadhi jibu lako kwa matumizi ya baadae
Harakati zake ni HALISI pamoja na KUJARIBIWA kwingi anakopitia.Niko kikazi hapa ujiji mipango kazi inaonekana na mambo yanaenda bila ubabe bali kwa kutumia MAARIFA
..mshikishwa ukuta usinitishe. Mbowe ndiye baashahashe wenu. Yaani midume mizima mnashikishwa ukuta baada ya kuzibwa midomo Yaani Mr zero ni kiboko, yeye anaangalia matundu mawili tu, yaani alianza na lile la kuingizia chakula akawaziba na mikaratasi sasa anaenda kumalizia lile la kutolea uchafu kwa mtindo wa unashika ukuta, hahaha mnakazi nyie misukule ya chademaSasa kama Rais anavunja Katiba na Sheria za nchi unataka watu wote wamkubalie tu? ..kubali wewe na walio kama wewe, sisi tutawashikisha UKUTA tu!
Acha akili za usiku ukimtukana rais umetukana wananchi wrote akili yako dagaa kwelimshana jr, tatizo siasa wanazoendesha upinzani si za kujenga. Hivi wewe unadhani kwa nini lowasa aliwaita chadema ni wanaharakati??? Hivi unadhani lowasa anafurahi hii hali??? Hivi lowasa unadhani anataka kushindana na rais??? Kama ulimsikiliza siku za karibuni alisema rais anafanya vizuri......, ila akina mbowe, lissu etc wao kila kukicha wanamtukana na kumdharau na kutaka kupambana na mamlaka ya rais, ilhali hawajui mamlaka yake, na ndiyo maana uadui umeongezeka kumbuka unapmtukana rais unatukana watanzania na vyombo vyake vyote
Hahhahahaaaa masopakyindi you are educated much respect kwa hili lakini siasa isikutoe ufahamu....Mkuu slogan zenu ni za kunogesha hadhara tu.
Piiipoooz sijui imeishia wapi!
Nia ya slogan ni kurahisisha njia ya kwenda Ikulu, lakini slogan zenu zaishia na maandamano, virungu na lupango.
Na sligan ya CCM kama umesahau, HAOA KAZI TU!
Mshana jr hebu liambie na wewe menyewe yakitukana si tusi ila sisi tukitukana milion 7, ata ivo mudawote ni lijingaMudawote tuwe wakweli ukiamua kuingia kwenye siasa kubali yote...hebu ona kinachoendelea marekani kwasasa, siasa hazina adabu,hazina staha hazina heshima
Na hili wewe ni mmojawapo umeshawatukana sana hao uliowataja matusi makubwa tu si mara moja bali mara nyingi umewakashifu kuwabeza na kuwakejeli, ni wakubwa zako hawa watu na familia na ndugu na majukumu yao...
Kwasababu tu ya kutofautiana mitazamo ya kisiasa ukaamua kujivua utu wako ukisaidiwa na ID bandia kuwatusi hasa....na shida yako kubwa huzungumzii mfumo, hujadili hoja bali mara zote umepeleka kashfa kejeli na matusi kwa hawa watu...hii pia ni siasa lakini siasa chafu siasa majitaka
Niangalie mimi tunatofautiana mitazamo lakini sijawahi kufanya kama ufanyavyo wewe na kundi lako...
Namkosoa Magufuli lakini simvunjii heshima yake wala utu wake kwakuwa nje ya cheo chake yule ni mkubwa wangu ni kaka yangu nk...nakushauri sana jizuie dhihaka kejeli na matusi tubishane na kupingana kwa hoja tena zenye mashiko...upinzani sio uadui
...unaakili za nguruwe pori wewe.Acha akili za usiku ukimtukana rais umetukana wananchi wrote akili yako dagaa kweli