Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

Joined
Sep 10, 2013
Posts
335
Reaction score
478
attachment.php

Leo tumezindua Operation maalumu ijulikanayo kama operation TIGITIGI.

TIGITIGI
ni neno la kisukuma lenye maana ya sagasaga,teketeza,maliza kabisa.

Operation hii imeanzia Mwanza na sasa ni mkutano wa sita tuko Sengerema, baada ya Mwanza ni Simiyu, Mara,Tabora, Shinyanga.

Ninaiongoza operation hii mimi mwenyewe, Naombeni dua zenu ili izae matunda.
 
Attachments

  • mawazo.jpg
    mawazo.jpg
    29.3 KB · Views: 5,539
Leo tumezindua Operation maalumu ijulikanayo kama operation TIGITIGI.

TIGITIGI
ni neno la kisukuma lenye maana ya sagasaga,teketeza,maliza kabisa.

Operation hii imeanzia Mwanza na sasa ni mkutano wa sita tuko Sengerema, baada ya Mwanza ni Simiyu, Mara,Tabora, Shinyanga.

Ninaiongoza operation hii mimi mwenyewe, Naombeni dua zenu ili izae matunda.

hiyo operation itawaTIGITIGI washirika wa ukawa na si vinginevyo.
tunakutakia kila la heri ili ujustify ulaji wa hela za chama kupitia perdiem na si kuleta matunda. zote hizo ni njaa tupu kaka
 
Leo tumezindua Operation maalumu ijulikanayo kama operation TIGITIGI.

TIGITIGI
ni neno la kisukuma lenye maana ya sagasaga,teketeza,maliza kabisa.

Operation hii imeanzia Mwanza na sasa ni mkutano wa sita tuko Sengerema, baada ya Mwanza ni Simiyu, Mara,Tabora, Shinyanga.

Ninaiongoza operation hii mimi mwenyewe, Naombeni dua zenu ili izae matunda.

Tuko pamoja kamanda.Lazima 2015 tuiondoe CCM kama Nigeria walivyofanya.
 
Chama cha maoperation, operation moja iliyobaki ni kumgoa Mbowe na Slaa kwenye chama.
 
....maskini ccm ! maaskofu wameipiga teke, wakristo wamestuka, waislam wamegundua ulaghai wao, wazee wamedanganywa pensheni, vijana ndo usiseme, wakina mama wamesema kanga wanazo za kutosha, ata sijui watatokea wapi....
 
Lazima tuondoe ccm watanzania wanaitaji mabadiliko sana wakati ndio huu
 
Back
Top Bottom