Operation ng'oa Magufuli inakuja


Wakati yeye mwenyewe ni FISADI tu hana lolote zaidi ya kujilimbikizia mali kama wenzake
 
Hii operesheni ng'oa Magufuli itakuwa ndiyo njia sahihi ya kunyoosha nchi
 

Kama yeye naye ni FISADI halafu akina Masamaki wamesharudi kazini sasa sijui mafisadi wapi mnaowaongelea
 
Vyombo vya dola vimkamate huyu mtu haraka analeta uchochezi
 

Ukizumgumzia ufisadi Kuna boti mbovu ilinunuliwa na juma ponda mali
 

Hii inatoka kwa elimu ya hapa na pale. Mh!
 
Hivi magufuri alishinda kwa box la kura?
 
Asante sana kwa mifano hai kabisa
unaosha malapa unaingia ndani peku peku.............. mvua inanyesha unavua viatu visiaharibe
 
Yaani ina maana kujenga hoja objective huwezi hadi ujishikize kwa wengine! Sasa wewe unatafuta nini humu JF kwa GT?
 
Kuna mdau alianzisha uzi wa maneno hayo tayari...

Hamna jipya ni mnaisoma namba tu
 
Hivi ni lini JPM aliutangazia umma kuwa anataka kuongeza miaka mwingine 10?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…