Operation mchakamchaka yaipiga bao M4C

Operation mchakamchaka yaipiga bao M4C

Status
Not open for further replies.

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Operation ya mchakamchaka hadi 2015 imeshika kasi na jana prof lipumba alifanya mkutano mkubwa pale zanziba na baadae itaendelea bara baada ya kusimama kule mtwara baada ya vurugu kubwa kutokea katika kuhamasisha wananchi kudai haki zao operation hii ni kiboko imeipiga bao m4c
 
Mu liberali aka mdini hana maana kwa taifa hili labda kama atagombea u shekhe
 
Cuf na ccm aka waliberali na wavunaji wa tembo hawana chao
 
Maliberali hayo! Kwani Prof. atajikita zaidi kwenye misikiti ipi mkuu? Au ni katika yale maeneo yenye waislamu wengi? Mnalo mwaka huu - huku USHOGA kule UDINI. Poleni.
 
Kuiga huwa kunasaidia...ingawa si sana
 
Operation ya mchakamchaka hadi 2015 imeshika kasi na jana prof lipumba alifanya mkutano mkubwa pale zanziba na baadae itaendelea bara baada ya kusimama kule mtwara baada ya vurugu kubwa kutokea katika kuhamasisha wananchi kudai haki zao operation hii ni kiboko imeipiga bao m4c

Nilikuwa nampa heshima huyu wanaemwita prof....ila sasa nimegundua kuwa huyu jamaa hafai kabisa....huyu jamaa ni mdini mdini mdini vibaya mno......hafai hata kupewa uenyekiti wa mtaa..halafu ni kitu kinachochekesha eti mchakamchaka iipuku m4c hahahahaha ni kichekesho..........
 
Operation ya mchakamchaka hadi 2015 imeshika kasi na jana prof lipumba alifanya mkutano mkubwa pale zanziba na baadae itaendelea bara baada ya kusimama kule mtwara baada ya vurugu kubwa kutokea katika kuhamasisha wananchi kudai haki zao operation hii ni kiboko imeipiga bao m4c

Mhhhh.....Badala ya kuzungumzia namna gani ya kuimarisha ndoa mliofunga na magamba nyie mnahangaika kuiga operations za wengine tu. Angalieni msije kuachika......
 
Operation ya mchakamchaka hadi 2015 imeshika kasi na jana prof lipumba alifanya mkutano mkubwa pale zanziba na baadae itaendelea bara baada ya kusimama kule mtwara baada ya vurugu kubwa kutokea katika kuhamasisha wananchi kudai haki zao operation hii ni kiboko imeipiga bao m4c

sadam sadam sadam! unapigana na ukuta M4C, utaumiaaa. maliberali wa ukweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom