Operation korosho na hasira za mkizi

Hilo ni sawa lkn tukigusia suala la kiuchumi naona sisi ndiyo tunapoteza maana zikiuzwa tunapata sisi tozo zote na kuzifanya wilaya zetu kuongeza makusanyo
Karika hali sasa si busara kununua korosho toka nje ya nchi. Kama kweli soko lipo hao wafanyabiashara waende Mozambique wakanunulie huko. Yawezekana terms za Tanzania kununua korosho zina unafuu na bei iko juu ndio maana wanaleta ikilinganishwa na huko kwao
 
Huna lolote
Serikali inanunua korosho kusaidia wananchi wake, hao Msumbiji wana Rais wao akitaka anunue.
Rais ananunua korosho za Tanzania sio za Afrika.
Kwa hili mmeishiwa hoja mnatapatapa kama wagonjwa wa pepopunda.
 
Tulishakwama Muheshimiwa Rais katuokoa.
 

Tuliokuwa gizani tunaendelea kujifunza mengi. Hakuna biashara rahisi. Hata Tanzanite ipo Tanzania tu (bahati gani Muumba alitupa) lakini bado inachangamoto zake za soko.
 
Daima binadamu upimwa kwa matamshi yake
Huna lolote
Serikali inanunua korosho kusaidia wananchi wake, hao Msumbiji wana Rais wao akitaka anunue.
Rais ananunua korosho za Tanzania sio za Afrika.
Kwa hili mmeishiwa hoja mnatapatapa kama wagonjwa wa pepopunda.
 
 
Una uhakika kulikwa na cartel katika korosho?
Cartel inafanyaje kazi ukiwa na bodi ya korosho inayotoa bei elekezi na korosho kuuzwa mnadani pia?
Watanzania tunadanganywa sana na wanasiasa.
Hakuna MTU au mfanyabiashara anayetoka nje na kuja kuwanyonya wakulima.
Never on earth !!!
Soko la duniani kote liko wazi na linatangazwa kwenye mitandao.Na tunawataalam wa uchumi na masoko wanafuatilia.
Kwa hiyo mfanyabiashara akija anajua wazi kuwa bei ya soko inajulikana!!
Wanaohujumu ni watanzania wenzetu waliopewa mamlaka ya kupanga bei elekezi; hawa wanaweka maslahi yao Mbele kwa kuwarubuni wafanyabiashara kwa kuvuruga bei na kiasi Fulani kinaingia mifukoni mwao na miaka ya nyuma kilikua kinatumiwa na chama kilichokua kinatawala Msumbiji kukwapua pesa za wakulima kwa ajili ya shughuli za kisiasa za kujenga chama. Ndio maana watu wengi walioongoza vyama vya ushirika walikua mamilionea na wengi wakaingia baadae kwenye siasa hasa kwenye chama kikubwa kilichotawala muda mrefu.

Hii ni sawa na kule Kongo makandarasi wa Barabara na majengo wanavyolazimishwa kusaini mikataba ya tenda lakini pesa kubwa inaishia mifukoni mwa waafrika wenzetu walioaminiwa , na majengo na barabara hasa za halimashauri zinakuwa za kiwango cha chini sana. Hapo Utamlaumu vipi Mkandarasi wakati anaambiwa kama hutaki acha tutachuku mwingine atakayekubali masharti ya kukatwa pesa ziingie mifukoni mwa kindi la watu na wengi wao wanafahamiana.

Wanaolihujumu wakulima na hili taifa hawajawahi kuwa watu kutoka nje!

Hata wakoloni walilitumia vizuri sana rasilimali za nchi hii wakati huo na teknolojia duni iliyokuwepo kujenga miundo mbinu na taasisi nyingi tu kama mashule ,majengo bora kabisa ya Ibada ,maofisi ya umma mpaka ofisi kubwa kabisa za kitaifa kwa ubora wa hali ya juu. Hawakutuhujumu kwa kujenga majengo kwa kiwango hafifu kama wanavyofanya waafrika wenzetu leo.
.....Waliokuja kuharibu walikua ni waafrika wenyewe na kuanza kujijenga binafsi na familia zao ili waishi kama wakoloni.

Huu ujanja wa Wanasiasa wa kudanganya watu kuwa tunanyonywa na watu kutoka nje /wazungu sijui nini, ni janja yao ya kuwapofusha watu macho ili waendelee kutafuna nchi huku tukiamini anayetafuna ni mzungu. Kijana wa kiafrika anapewa ukuu wa Mkoa au uwaziri kwa miaka mitatu anamiliki Mali sawa na Mjukuu wa Bedford , waliofanya biashara dunia nzima tangu karne ya 19.
Halafu tunabaki kuwatupia lawama Wazungu na wafanyabiashara wa nje.
 
hao hawajawahi kufanya oparesheni ikafanikiwa:

operation usafi jumamosi kwisha
operation dawa za kulevya kwisha
operation mauamaua lissu kwisha
operation ushoga ime backfire kwisha
operation makinikia kwisha na noah zake
opearation tanzania ya viwanda kwisha
operation korosho haifui dafu inakufa soon
 
Labda nikufumbue macho kidogo tu ndugu yangu ni kuwa kinacho lifanya soko la Tanzania kwa zao la korosho uwavuta watu wa msumbiji ni muda tu wa ku export uliopo baina ya hizi nchi mbili yaani Tanzania tunakuwa wa kwanza ku export na msumbiji wanaanzia January
 
wewe muosha vyombo vya mbowe zoezi lipo kwa ajili ya kuwasaidia wakulima kununua korosho wa zao kwa bei nzuri zoezi halipo kwa ajili ya korosho zinazovushwa kutoka nchi jirani na wafanyabiashara wasio na faida!
 
Asante sana kwa mchango ulio jitosheleza
 
Tatizo hata kusoma kilicho andikwa hukusoma
wewe muosha vyombo vya mbowe zoezi lipo kwa ajili ya kuwasaidia wakulima kununua korosho wa zao kwa bei nzuri zoezi halipo kwa ajili ya korosho zinazovushwa kutoka nchi jirani na wafanyabiashara wasio na faida!
 
Inatia shaka sana kama taifa tutaendelea kuwa na vijana kama wewe wavivu wa kusoma hata jina lako
wewe muosha vyombo vya mbowe zoezi lipo kwa ajili ya kuwasaidia wakulima kununua korosho wa zao kwa bei nzuri zoezi halipo kwa ajili ya korosho zinazovushwa kutoka nchi jirani na wafanyabiashara wasio na faida!
 
Wenye dhamana /mamlaka wanaingia mikataba mibovu then wanalalamikia na kulaumu eti mabeberu wanatuibia na watanzania kwa upeo mdogo tunawashangilia na kuwaona ni watetezi wetu πŸ˜” πŸ˜” πŸ˜”
 
Ndio maana tunapewa bora elimu ili watudanganye hadi kihama na mfano ni huu wa korosho
Wenye dhamana /mamlaka wanaingia mikataba mibovu then wanalalamikia na kulaumu eti mabeberu wanatuibia na watanzania kwa upeo mdogo tunawashangilia na kuwaona ni watetezi wetu [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…