Waziuze tu zakwao wanakojua. Tuko ktk vita ya uchumi mkuu. Wasije wakaweka mimawe kwenye korosho zao halafu waharibu soko la korosho zetu. Wapambane na hali yao na Mozambique yao
Mkuu upo vizuri sana kama ndiyo hivyo nakupongezaNinavyoona serikali imechukua hatua ya ku intervene kwenye biashara ya korosho msimu huu sio kwa sababu za kibiashara kwamba inunue kutoka kwa wakulima halafu itafute soko ya korosho hizo na ipate faida, la hasha
Nadhani sababu ni za kisiasa zaidi na pia inataka kuvunja cartel ya kinyonyaji ya wanunuzi wakubwa wa korosho. Hata kama hakuna faida kubwa itakayopatikana au hata ikiwa ni hasara kiasi basi bora iwe hivyo kuliko ku give in kwa demands na syndicates za wanunuzi
Sasa kuruhusu kuingia korosho kutoka nje ya nchi zije kuuzwa Tanzania ni kuiongezea Serikali ya Tanzania mzigo wa budget ya kununua korosho hizo, ununuzi ambao hauangalii short time commercial gain but rather long term political and economical benefits
Ni maoni yangu tu lakini
Kuna magonjwa ya mimea huwa yana hama kutoka nchi 1 kwenda nyingine vip hilo umelifikiria kabla ya kulaumuMiaka yote ambayo zao la korosho limekuwa bei yake ipo juu na kuliingizia taifa mapato ya kujivunia sehemu kubwa ya korosho ilikuwa inavushwa mpaka kutoka msumbiji na kuingizwa Tanzania na inauzwa bila tatizo lolote,na ubora wake unalingana na zile za Tanzania yaani wastani wa sot 51-54 na nuts count zao ni kati ya 160-190.
Lakini leo hii wakubwa wa operation hii wanazizuia hizo korosho zisiingie tena nchini mwetu kwa kigezo kisicho julikana ni jambo la kushangaza sana na sijui wanamkomoa nani kati ya Tanzania na Mozambique?wilaya za Tandahimba na Newala zilikuwa zinanufaika na korosho nyingi kutoka Mozambique kwani tozo zote zilikuwa zinaingia kwenye wilaya hizo sasa hali imekuwa kinyume kabisa.kweli nimeamini ule usemi wa hasira za mkizi!!!
Asante sana mkuuMkuu upo vizuri sana kama ndiyo hivyo nakupongeza
Kuna magonjwa ya mimea huwa yana hama kutoka nchi 1 kwenda nyingine vip hilo umelifikiria kabla ya kulaumu
Kama yanavyohama kutoka tz mpaka India maana ndio wanunuzi wakubwa wa korosho za tz,Kuna magonjwa ya mimea huwa yana hama kutoka nchi 1 kwenda nyingine vip hilo umelifikiria kabla ya kulaumu
Sawa tahadhali nimuhimu hata mm natokea mikoa ya pembezoni la lazima tuwe makini mazoea mabayaHapo hakuna cha magonjwa mkuu maana kama ni ugonjwa hauwezi kuepukwa kulingana na nature ya mpaka wa Mozambique na Tanzania
Sawa tahadhali nimuhimu hata mm natokea mikoa ya pembezoni la lazima tuwe makini mazoea mabaya
Una uhakika kulikwa na cartel katika korosho?Ninavyoona serikali imechukua hatua ya ku intervene kwenye biashara ya korosho msimu huu sio kwa sababu za kibiashara kwamba inunue kutoka kwa wakulima halafu itafute soko ya korosho hizo na ipate faida, la hasha
Nadhani sababu ni za kisiasa zaidi na pia inataka kuvunja cartel ya kinyonyaji ya wanunuzi wakubwa wa korosho. Hata kama hakuna faida kubwa itakayopatikana au hata ikiwa ni hasara kiasi basi bora iwe hivyo kuliko ku give in kwa demands na syndicates za wanunuzi
Sasa kuruhusu kuingia korosho kutoka nje ya nchi zije kuuzwa Tanzania ni kuiongezea Serikali ya Tanzania mzigo wa budget ya kununua korosho hizo, ununuzi ambao hauangalii short time commercial gain but rather long term political and economical benefits
Ni maoni yangu tu lakini
Una uhakika kulikwa na cartel katika korosho?
Cartel inafanyaje kazi ukiwa na bodi ya korosho inayotoa bei elekezi na korosho kuuzwa mnadani pia?
Ila ukumbuke serikali aifanyi biasharaHilo ni sawa lkn tukigusia suala la kiuchumi naona sisi ndiyo tunapoteza maana zikiuzwa tunapata sisi tozo zote na kuzifanya wilaya zetu kuongeza makusanyo
Kuna tatizo, hapo biashara ina kanuni zake, ukizikiuka undhoofisha mfumo mzima wa biasharaMiaka yote ambayo zao la korosho limekuwa bei yake ipo juu na kuliingizia taifa mapato ya kujivunia sehemu kubwa ya korosho ilikuwa inavushwa mpaka kutoka msumbiji na kuingizwa Tanzania na inauzwa bila tatizo lolote,na ubora wake unalingana na zile za Tanzania yaani wastani wa sot 51-54 na nuts count zao ni kati ya 160-190.
Lakini leo hii wakubwa wa operation hii wanazizuia hizo korosho zisiingie tena nchini mwetu kwa kigezo kisicho julikana ni jambo la kushangaza sana na sijui wanamkomoa nani kati ya Tanzania na Mozambique?wilaya za Tandahimba na Newala zilikuwa zinanufaika na korosho nyingi kutoka Mozambique kwani tozo zote zilikuwa zinaingia kwenye wilaya hizo sasa hali imekuwa kinyume kabisa.kweli nimeamini ule usemi wa hasira za mkizi!!!
Hapo mkizi ndio nani na mvuvi ndio nani.Ndiyo maana nimeliita hili zoezi kuwa ni hasira za mkizi,haifanyi biashara ok lkn wakati huo inahimiza halmashauri kuongeza speed ya ukusanyaji mapato ili kuongeza kipato