Operation Kimbunga: Mhamiaji haramu yupo hapa!

Prince Hope

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
2,154
Reaction score
447
Operation Kimbunga imeanza kwa mafanikio! Nendeni Mwanza sasa.

Zipo taarifa zisizo na shaka kuwa katika Chuo kikuu kimoja, katikati ya jiji la mwanza mkabala na chuo cha BOT, kuna mhamiaji haramu.

Ni mwajiriwa katika chuo hicho pasi kuwa na uraia, work permit hata elimu stahiki.

Mara zote amekuwa akijitambulisha kama mzaliwa wa Shirati-Mara. Ukweli ni kwamba ni Mganda, kwa lafudhi yake tu, hamtapoteza muda kumrudisha kwao.

Nawasilisha.
 
Acha wivu wa kike bana,unafikiri akiondolewa kazi utapewa wewe?
 
Kwa hiyo unashauri aachwe tu, asiguswe si ndiyo? mkuu jaribu kuwa na uzalendo japo kidogo.

watanzania wengi waliosoma Uganda wana rafudhi ya kiganda, Je na wao ni Waganda? THREAD YA KIBAGUZI NA KIJINGA!
 
Sasa hata kama wamesoma uganda ndo wakiambiwa kuimba wa taifa ndo waimbe: yahaya unaishi wapi, na jina lako halisi nani yahaya wee!?
 
Acheni Fitina, Wajamaaeni Eee fitina Mbaya "sheria zipo na wahusika wanashughulikia kampeni hii" msije kupoteza malengo...
Kila mmoja anafahamu wajibu wake. Tusipoteshe umma katika hili kuna wananchi hapa wamesoma nje na kuchanganya lugha na wenyeji wa huko kwa muda mrefu sasa hpo siitakuwa noma.!!
 
Kama raia mwema unawajibika kutoa taarifa zinaweza kusaidia utendaji kazi wa vyombo vya dola.
 
You are Right nakubaliana.....
Tuwewaangalifu na kutumia busara !!
pamoja kulinda masilahi ya Nchi na usalama wetu.
 
watanzania wengi waliosoma Uganda wana rafudhi ya kiganda, Je na wao ni Waganda? THREAD YA KIBAGUZI NA KIJINGA!
Hii kali, mbona waswahili wanakwenda kusoma Uingereza na kuishi huko zaidi ya miaka kumi na ushee lakini kingereza chao kinabaki na rafudhi ya kibantu tu. Sasa hii ya Uganda imekaaje?
 
Dar es salaam waganda na wakenya wamejaa kwenye shule za english medium,,uhamiaji wameenda wamepewa pesa wamegeuza na kuwaachia wageni haramu....holy cross,st marys,african tabata,tusiime imefanyika last week yani mashuleni ndio wamejificha kibao...kwenye saluni za nywele uko kumejaa wakongo balaa.
 
Acha wivu wa kike bana,unafikiri akiondolewa kazi utapewa wewe?

ni utaratibu bwana oparetisheni kimbumga nadhani mmepewa taarifa na mimi naongezea nendeni ofisi za club y simba kuna msomali wahamiji haramu warudi kwao.
 
Hivi wew umesoma kweli angalia mbongo anavo fundisha na mkenya je nan anae toa quality education?
 
kusoma muda mrefu nchi fulani hakubadili lugha uliyo zaliwa nayo kama wageni wakamatwe tu sheria zipo dunian kote mtembee jamani muone hata watz wanakamatwa na kurudishwa tz.kama hawana permit sio tz ndio tuna mfumo huu.
 
watanzania wengi waliosoma Uganda wana rafudhi ya kiganda, Je na wao ni Waganda? THREAD YA KIBAGUZI NA KIJINGA!

hiyo itajulikana hapo hapo atakapofatwa na operation kimbunga.Tz sio danguro
 
Back
Top Bottom