Operation Kimbunga: Mhamiaji haramu yupo hapa!

Operation Kimbunga: Mhamiaji haramu yupo hapa!

kwa iyo watanzania ni mazoba kwa maana nyingine. we umezaliwa hapa hapa na iyo kazi umeikosa. mwenzako kachanga nauli kavuka mpaka ka hustle mpaka kaipata iyo kazi.

Acha wivu, ukipata hela usiinywe yote bia, nunua daily news, nenda internet cafe, tembelea tovuti za utumishi, jamiiforums (nafasi za kazi sio jukwaa la siasa tu), plus sala na mahusiano mazuri na watu...utapata tu kazi nzuri b.w.e.g.e wewee!
 
Easy e.tulia acha utokwa povu.OPERATION KIMBUNGA ,MSISAHAU KUPITIA NA HUKU KWENYE MAKAMPUNI YA UTALII YA ARUSHA NA MOSHI,WAKONGOMAN KIBAO.
 
Back
Top Bottom