Operation Kimbunga Dar ,Pwani ya kiuka Kauli ya Kikwete

Operation Kimbunga Dar ,Pwani ya kiuka Kauli ya Kikwete

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
2,782
Reaction score
876
Raia Wa Liberia anayefahamika kwa jina la Willium Tetto Morris amekamatwa na kwa sasa yupo makao makuu immigration.

Raia huyu anayo ndoa harali na Mtanzania na Imebinika kwamba mnamo tarehe 28/12/2001 , Raia wa Liberia Dr Willium Tetto Morris (PhD) alifunga ndoa na Raia wa Tanzania aitwaye Dr Philis Mishek Nyimbi mfanyakazi wa Hspitali ya Taifa Mhimbili kama Dokta katika kanisa la Angilikani Tanzania makao makuu ST .ALBANI DSM mtaa wa POSTA MPYA na aliyewafungisha ndoa hiyo ni Mch Willium G Kambanga na kupewa Cheti Cha ndoa Namba 0638572 kilichotolewa na Jamuhuri ya Muungano Tanzani.Miazi mitatu baada ya Ndoa hiyo Dr Morris alisafiri na Kwenda USA na kuanza kutafuta VISA ya Mkewe ambaye alikuwa anafanya kazi Mhimbili Hospital.VISA hiyo ilianza kusumbua ndipo Bi Phiris alipokwenda EFATHA Kwa Mwingira kwenda kuombewa na alikutana na Mwingira Uso Kwa Uso.

Taarifa zinaonyesha kuwa Nabii Mwingira alianza mapenzi na Mwanamke huyo na kufanikiwa kuzaa mtoto ambaye jina lake ni Daudi wakati mume yupo USA. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa Bi Nyingi na familia nzima walisha kaa kikao na kulalamika bayana suala la yeye kuzaa na Mwingira na taarifa hizo zimeripotiwa Kwa RPC Kibaha kwa jarida KBA/PE/23/2011.Nabii Mwingira anafanya njama hizi ili kukwepa kesi hii ambayo ipo mbioni kufunguliwa ambapo mahakama imetarajiwa kutoa amri Mwingira apime DNA

Hata hivyo Dkt Morris ana kampuni hapa nchini ambayo ina malengo ya Kuanzisha hospital kubwa na vifaa vilisha letwa hapa lakini vinashikiliwa na Mwingira eneo la Kibaha kwa Utapeli.
Vifaa vinavyo shikiliwa vinathani ya Us$6.5mil kama ifuatavyo:
Imetajwa kuwa Mwingira na Emmanuel Nchimbi ni marafiki na hii ndo hila:
Vifaa vinavyo shikilia na Mwingira hadi sasa huku mhusika akifukzwa nchini ni kama ifuatavyo:

INVENTORY OF ITEMS BELONGING TO GLOBAL 2000(2010) INTERNATIONAL
LIST OF MEDICAL EQUIPMENT AND SUPPLIES IN STOREGE:
1 1 PORTABLE X-RAY MERCHINE $900,750.
2 5 ten leads EKG - $20,000
3 2 X ray film developer - $250,000
4 4-Exam tables $10,000
5 Medical supplies (gloves, bandages, needles, syringes, stethoscopes, towels, sterilizers, etc.) - 20 boxes $50,000
6 Rehabilitation bikes – 2 ($4,000)
7 Thread Mill- 1-$5,000
8 Memo plus machine – $1,020,000
9 Transfer Gunnies –2
10 Miscellaneous Medical Supplies (20 boxes) - $750,000
11 1 hemodialysis machine – cost price $2,500,000
12 Clothes - $850,000
13 House hold goods - $750,000

Waandishi muliopo Dar na Pwani fuatilieni sakata hili ili ukweli ufahamike

up date:
Dr William Tetto Morris amesha achiwa na immigration baada ya mgongano kutokea lakini taarifa za ndani zinaonyesha kuwa Maafisa hao wa immigration wamepanga kumufukuza nchini jumatano ya wiki ijayo.
Afisa wa immigration anayehusika anapatikana kwa simu 0767 161 296 .

View attachment 117385 morrs.jpg
 
mwe !! ngoja nitafute maji ya kunywa ntarudi sasa hivi....>>>>
 
aisee du Mwingira nabii,ndo maana sijawahi kanyaga kanisani kwake
 
mbona unachangany vitu vingi kwa mpigo... sasa huyo dada kwa nn hakwenda uko usa kwa mumewe? mwingira ndo alimnyima visa? operation kimbunga apo inahusika vp kwan uyo mliberia sijui si ameondoka mwenyewe nchini? kuhus kushikiliwa vifaa vyake mwingira ndio aliyevitoa bandarin na akavishikilia uko kibaha?? kesi ya kuchukuliwa mke inahusika vp na DNA za mwingira au uhamiaji haramu?? weka taarifa ktk mpangilio unaoeleweka!!
 
Wenzako wanao changia na wewe kuna tofauti gani??? Usiwe mvivu
 
Wee bwana wee,
mimi nasemaga hawa manabii hawa, kaaz kweli kweli.
 
Huyu anayejiita nabii sijui ametembea na wake za watu wangapi,maana sipati picha,cheki kansani kwake watu wanavyojaa wanamwamini namii wao,loo kumbe tapeli na mzinzi mkumbwa.
 
Mwiraaa !? Kaazi Kwelikweli, Wapo Wengi Sana Hawa Kina Mwingira
 
Bado...nangoja waandishi wa habari wa Pwani na Kibaha ndo nitie neno langu hapa!
 
Rais Kikwete alisema wenye ndoa hawataguswa bali watapewa utaratibu maalumu wa kufauata ili waewze kuishi hapa sasa hapa Waziri nchimbi anafanya nini?????????????????
 
Habari ya magumashi hii.

Hiyo hemodialysis machine ya 2.5 mil dollars itawe brand name yake na mwaka iliyotengenezwa ili tuwatajie bei yake halali.
 
Habari ya magumashi hii.

Hiyo hemodialysis machine ya 2.5 mil dollars itawe brand name yake na mwaka iliyotengenezwa ili tuwatajie bei yake halali.
Hiyo siyo issue!!!
Suala hapa kwa nini Mwingira ana kaa na maliza watu????????????????
 
mbona unachangany vitu vingi kwa mpigo... sasa huyo dada kwa nn hakwenda uko usa kwa mumewe? mwingira ndo alimnyima visa? operation kimbunga apo inahusika vp kwan uyo mliberia sijui si ameondoka mwenyewe nchini? kuhus kushikiliwa vifaa vyake mwingira ndio aliyevitoa bandarin na akavishikilia uko kibaha?? kesi ya kuchukuliwa mke inahusika vp na DNA za mwingira au uhamiaji haramu?? weka taarifa ktk mpangilio unaoeleweka!!

Wewe ndiyo unachanganya. Jamaa ameeleza mambo mengi ILA kwa MTIRIRIKO. Tumepata vema na hoja yake ni ya msingi. Kuwa ni ya kweli au la ni jambo jingine ila MANTIKI ipo.
 
William T. Morris

On Thursday, September 19, 2013 12:33 PM, william morris <drwilliamm@yahoo.com> wrote:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] [TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Dear Supporter,
attached are letters to the United Nations Family and fellow NGOs like you reqyestin your kindest assistance and support as we fight against this very violent crime against women.
The case is now in the justice system awaiting prosicution and we CASE REFERENCE: TANZANIAN POLICE CASE FILE NUMBER:
KBA/PE/23/2011

Dr. Phillis Nyimbi morris who is the victim can be directly contacted at:
http://us.mc1138.mail.yahoo.com/mc/compose?to=nyimbi_m@yahoo.com drwilliamm@yahoo.com

+ 255 766 020249

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Habari ya magumashi hii.

Hiyo hemodialysis machine ya 2.5 mil dollars itawe brand name yake na mwaka iliyotengenezwa ili tuwatajie bei yake halali.
William T. Morris

On Thursday, September 19, 2013 12:33 PM, william morris <drwilliamm@yahoo.com> wrote:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] [TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Dear Supporter,
attached are letters to the United Nations Family and fellow NGOs like you reqyestin your kindest assistance and support as we fight against this very violent crime against women.
The case is now in the justice system awaiting prosicution and we CASE REFERENCE: TANZANIAN POLICE CASE FILE NUMBER:
KBA/PE/23/2011

Dr. Phillis Nyimbi morris who is the victim can be directly contacted at:
http://us.mc1138.mail.yahoo.com/mc/compose?to=nyimbi_m@yahoo.comdrwilliamm@yahoo.com

Tel + 255 766 020249

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom