Uliongea nao lini?Huku Songea Wangoni tumeikataa KATA FUNUA
Mbona mwaonyesha uoga basi?Porojo za kihuni kabisa wamekosa hoja wamekalia ujinga na hoja za kipuuzi tu.
Nakala ya utafiti uliyofanya?Kata funua imeshindwa kabla ya kuanza,imekosa muitikio hata humu jamvini
Bavicha wamechoka kulishwa matango pori?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha nakukubali kwa vibonzoHuku Songea Wangoni tumeikataa KATA FUNUA
Inasikitisha, kuzunisha na kutia hasira kana kwamba hii nchi ni ya kikundi fulani kidogo hivi.
Serikali ya mkoa wa Simiyu ametoa kalipio kali kuwa katika Operation Kata Funua hawataki kuona Lowasa wala kiongozi wa kuleta pua yake Simiyu.Magazeti ya leo yameandika. Mwenyekiti wa Chadema amezindua operation kabambe kuelekea kuchukua nchi 2020 hususani kwa ajili ya kuwaanda wanachama wake na viongozi kujiandaa na serikali awamu ya sita itakayokuwa chini ya UKAWA
Aidha ikumbukwe kuwa pamoja na serikali kupiga marufuku mikutano ya siasa iliruhusu mikutano ya ndani ambayo ndiyo aina ya vikao vitakavyotumiwa na Chadema
Tahadhari:
Tunaona wimbi la wawekezaji wakijawa hofu kubwa juu uwekezaji wao kutokana na kutokuwa na uhakika wa kesho kutokana na matamko yasiyo na kichwa wala miguu,hali ya kisiasa isiyofuata katiba wala sheria inawaongezea wasiwasi sana wawekezaji.Msiwatishe wawekezaji
Katika lugha hiyo ya kihuni, maneno "KATA FUNUA" yana maana gani? Hebu kwa upendo tufafanulie!Lugha za kihuni hizi, ETI KATA FUNUA!
Kata funua ni neno la kihuni linatumika sana na panya road na scorpionNakala ya utafiti uliyofanya?
Wewe Mngoni au Myamulenge uliyehamia kutoka misitu ya Congo?Huku Songea Wangoni tumeikataa KATA FUNUA
Njala Matata.Litola,Mitoronji,Namtumbo,Peramiho,Tingi,Huku Songea Wangoni tumeikataa KATA FUNUA
Njala Matata.Litola,Mitoronji,Namtumbo,Peramiho,Tingi,
Hizo Sehemu Nilizokutajia Wamelala Sana Hapa Songea Ccm Waliikataa Sema Mbunge wa Chadema Alishinda Akauza Matokeo Kwa Mbunge wa Ccm.
Ni nani aliyewashikia akili zenu nyie wafuasi wa chadema? hizi kampeni mnapata majina kwenye vilabu vya pombe?Inasikitisha, kuzunisha na kutia hasira kana kwamba hii nchi ni ya kikundi fulani kidogo hivi.
Serikali ya mkoa wa Simiyu ametoa kalipio kali kuwa katika Operation Kata Funua hawataki kuona Lowasa wala kiongozi wa kuleta pua yake Simiyu.Magazeti ya leo yameandika. Mwenyekiti wa Chadema amezindua operation kabambe kuelekea kuchukua nchi 2020 hususani kwa ajili ya kuwaanda wanachama wake na viongozi kujiandaa na serikali awamu ya sita itakayokuwa chini ya UKAWA
Aidha ikumbukwe kuwa pamoja na serikali kupiga marufuku mikutano ya siasa iliruhusu mikutano ya ndani ambayo ndiyo aina ya vikao vitakavyotumiwa na Chadema
Tahadhari:
Tunaona wimbi la wawekezaji wakijawa hofu kubwa juu uwekezaji wao kutokana na kutokuwa na uhakika wa kesho kutokana na matamko yasiyo na kichwa wala miguu,hali ya kisiasa isiyofuata katiba wala sheria inawaongezea wasiwasi sana wawekezaji.Msiwatishe wawekezaji
Magufuli ana nafasi ya kuwa rais mbicu kuliko wote.Kila la kheriHata wazuie hawawezi.