Uzi huu ufungwe maana hakuna cha kuongezea tena! 📌📌📌Mh! mmeanza na ma freemason yenu!, hizi habari ni za kale halafu kuhusu NASA kwenda mwezini hoja zote walishazijibu!..
hiyo dunia yenu flat pelekeni huko kwa mpalange msituletee mambo ya ajabu hapa!.
Unakaa unaamini hadithi za eden unawazimu wewe!, Dini ni vyombo tu vyakutawalia watu hata usihadaike nazo!, ati mwezi unatoa mwanga wa baridi...🤣
Unakuwa kama zuzu vile, umekaa kinadharia sana ajabu unajikuta mwanasayansi halafu unasema big bang imeletwa na nasa!, big bang ni nadharia tu sayansi haina jibu la moja kwa moja kuwa ulimwengu ulianza vipi so kama haina majibu ila inamapendekezo ama mafikirio ila wanajua kabisa big bang ni nadharia ambayo bado haijathibitishwa!..
Kitendo chakuita dark matter na anti matter ni kwamba kuna nguvu ktk ulimwengu wanaona inafanya kazi tu lakini hawajui inatokea wapi!, ndio maana wakaziita hivyo so still cern wanafanyia utafiti!, wewe mlugaluga unasema wanaficha, wafiche kwa faida ya nani unafikiri nani hataki kugundua jina lake liandikwe nakusomwa kwenye vitabu vizazi na vizazi!.
Na nashuku hiyo unayosema kuna taarifa waliipata kutoka anga za mbali ila wanaficha nafikiri ni ile waves za gravitational ambapo black holes mbili zili collide!, wewe wasema taarifa!.. na hii ilitabiliwa na Albert Einstein kuwa kuna gravitation waves ila ndo wakaja kuthibitisha kuwa kweli jamaa alikuwa right baada ya miaka 100+.
Wewe unasumbuliwa na ushamba na kwa elimu hiyo unaweza kuteka vichwa vya wajinga!.. unasumbua watu tu namabandiko yako mpk unaleta stori za majini ukiamini kuwa ni kweli mara watu wanaponywa kwa kutumia sijui frequency!..😂
Ponya basi wewe tuone kama unaweza nenda mahospitalini kawaponye watu kwa hizo frequency zako!.
Halafu usimtumie Nikola tesla vibaya!.
wamuache tu nayeye adung'uedungu'e...😂Uzi huu ufungwe maana hakuna cha kuongezea tena! 📌📌📌
Hapa naomba ufanye uchunguzi, pia umejibu kwa ku belittle jamaa Kama vile alikunyang'anya demu.wanaponywa kwa kutumia sijui frequency!..😂
Ponya basi wewe tuone kama unaweza nenda mahospitalini kawaponye watu kwa hizo frequency zako
Flat earth wanamatatizo yani mpaka wana ramani ya nje ya antartica na majina ya maeneo na hakuna aliyefika huko wala kutuma chombo au telescope wanajitungia tuMh! mmeanza na ma freemason yenu!, hizi habari ni za kale halafu kuhusu NASA kwenda mwezini hoja zote walishazijibu!..
hiyo dunia yenu flat pelekeni huko kwa mpalange msituletee mambo ya ajabu hapa!.
Unakaa unaamini hadithi za eden unawazimu wewe!, Dini ni vyombo tu vyakutawalia watu hata usihadaike nazo!, ati mwezi unatoa mwanga wa baridi...🤣
Unakuwa kama zuzu vile, umekaa kinadharia sana ajabu unajikuta mwanasayansi halafu unasema big bang imeletwa na nasa!, big bang ni nadharia tu sayansi haina jibu la moja kwa moja kuwa ulimwengu ulianza vipi so kama haina majibu ila inamapendekezo ama mafikirio ila wanajua kabisa big bang ni nadharia ambayo bado haijathibitishwa!..
Kitendo chakuita dark matter na anti matter ni kwamba kuna nguvu ktk ulimwengu wanaona inafanya kazi tu lakini hawajui inatokea wapi!, ndio maana wakaziita hivyo so still cern wanafanyia utafiti!, wewe mlugaluga unasema wanaficha, wafiche kwa faida ya nani unafikiri nani hataki kugundua jina lake liandikwe nakusomwa kwenye vitabu vizazi na vizazi!.
Na nashuku hiyo unayosema kuna taarifa waliipata kutoka anga za mbali ila wanaficha nafikiri ni ile waves za gravitational ambapo black holes mbili zili collide!, wewe wasema taarifa!.. na hii ilitabiliwa na Albert Einstein kuwa kuna gravitation waves ila ndo wakaja kuthibitisha kuwa kweli jamaa alikuwa right baada ya miaka 100+.
Wewe unasumbuliwa na ushamba na kwa elimu hiyo unaweza kuteka vichwa vya wajinga!.. unasumbua watu tu namabandiko yako mpk unaleta stori za majini ukiamini kuwa ni kweli mara watu wanaponywa kwa kutumia sijui frequency!..😂
Ponya basi wewe tuone kama unaweza nenda mahospitalini kawaponye watu kwa hizo frequency zako!.
Halafu usimtumie Nikola tesla vibaya!.
Hapa naomba ufanye uchunguzi, pia umejibu kwa ku belittle jamaa Kama vile alikunyang'anya demu.
Ume attack jamaa , wee argue or challenge Kila dai lake moja baada ya nyingine.
Hili la sound limefanya niamini kuwa Kuna muda mjinga anaweza akajiamini mno na akajiona Yu sahihi.
Nime generalize sijakutaja Ila mie siwezi Pinga kitu ambacho Sina data ama research nacho..
Hili la sound or frequency healing please do research, don't involve your EGO MANA najua utakuja namie kunitukana na kutaka kuonyesha kuwa sijui kitu Ila wewe unajua zaidi.
Hata ivyo wewe unajua zaidi so wewe ni kichwa sie ni wajinga na Kila siku tunajifunza wajinga.
Mie hata la kuponya kwa sauti I know it Ila Sina haja ya kukuonyeshea.
Why music frequencies changed from 432 to 440 hertz.
Ama jaribu kucheki ichi ni kitu Gani please.
Do your research View attachment 3305608View attachment 3305608View attachment 3305610View attachment 3305610View attachment 3305608View attachment 3305610View attachment 3305611
Nadiriki kusema ni majinga...🤣Flat earth wanamatatizo yani mpaka wana ramani ya nje ya antartica na majina ya maeneo na hakuna aliyefika huko wala kutuma chombo au telescope wanajitungia tu
Twende practically hapa Mkuu mtu ana virusi au bacteria wa kansa, kisha unampigia frequency hivyo virusi vina potea tu kwenye damu au vinakufa kwa ajili ya frequency au ni nini kinatokea mpaka ukienda kupima unakuta hana tena ugonjwa haupo,Kuna healing frequencies, when I was a kid niliponyesha hata vifaranga just with some kind of sound , I didn't know why it worked but after learned it I knew why
Twende practically hapa Mkuu mtu ana virusi au bacteria wa kansa, kisha unampigia frequency hivyo virusi vina potea tu kwenye damu au vinakufa kwa ajili ya frequency au ni nini kinatokea mpaka ukienda kupima unakuta hana tena ugonjwa haupo,
Labda tuseme relaxation of the mind inasadia kutuliza anxiety na huenda kusaidia relaxation ya misuli il bacteria au virusi kufa kwa ajili ya musical frequency huo ni uwongo
Hizo zote ni spiritual hazina faida sasa kama opening third eye ya nini au psychic version, kuna telepathy hata usipokuwa navyo hakuna madhara ila Ancient real medicine ya zamani ilikuwa ni herbs haya madawa ya miti shamba wakiwa na ugonjwa serious wanatumia natural herbs sio hizo frequency. Kama nilivyosema hizo frequency ni more kwenye mind na spiritual ila magonjwa serious wanatumia dawa kwa sasa na zamani ilikuwa ni miti shamba
Kuna milima humo ya madini ghali duniani hicho ndio walikuwa wanatafuta sio dunia nyingine iliyojificha nyuma ya antartica hizo ni hoax za kuficha watu kwenye vitu vya muhimuMarekani si wajinga wakamtuma Admiral Richard Byrd kwenda Antarctica ku explore je unusual activities walizosikia ni kweli zipo?, kwani Nazis walikuwa obsessed sana na Antarctica kuliko taifa lolote kipindi hicho?, Hitler si mjinga kuita wajerumani ni master race!, Unadhani Russia walikuwa wajinga kumtuma Yuri Gagarin akatembee tu space na area of concentration zilikuwa zipi, unajua?, Antarctica Kuna mambo. Ni Bora sisi tuendelee kutafuta pesa, kununua gari na vimradi viwili vitatu tusubiri kufa tu maana hakuna kitu cha maana tunaweza.
Ukiwa mfuatiliaji sana na mtu wa kuunganisha dots utajua kwanini Antarctica.Kuna milima humo ya madini ghali duniani hicho ndio walikuwa wanatafuta sio dunia nyingine iliyojificha nyuma ya antartica hizo ni hoax za kuficha watu kwenye vitu vya muhimu