Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,242
- 44,324
leo pita pita yangu internet nikaona opera wametoa browser mpya na hii browser inatumia engine ya webkit sawa na engine ya google chrome, nikaona ngoja niijaribu yani nikawa very suprised. browser ni nyepesi sana inaload faster, haitumii ram nyingi nikaona bora nishee na nyie hapa
kuidownload click hii link
Opera Desktop Team - Opera Next 15 Released!
hii browser bado ipo beta stage i hope ikitoka official itakua bomba zaidi. hivi ni baadhi ya vitu vipya
1. dicover mode. hii ni option mpya ya kutafuta vitu vipya vya fani unayoitaka wewe kama habari, michezo na teknolojia mfano unataka habari za michezo baaada ya kwenda goal.com, sky sport au bbc unaenda discover unaselect michezo utaletewa habari zote opera atagrab kwa ajili yako
2. adreess bar na search bar vimeunganishwa
3. speed dial zina muonekano mpya