Opera Mini for NOKIA LUMIA.

Opera Mini for NOKIA LUMIA.

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,925
Heshima yenu wataalamu.
Naomba msaada wa namna ya kupata na ku-download opera mini katika simu ya Nokia Lumia 720.
Thanks in advance....
 
Nenda kwenye store Lakini utendaji wake mbaya, chukua Nokia Express browser. Kama unataka kudownload pia chukua GetThemAll
 
Hakuna official opera mini ya WP ila Kuna official opera link ambayo inakuwa na synchronized bookmarks and speed dials zako ulizokuwa unatumia kabla kwenye simu nyingine yenye opera. In general kama unatafuta alternatives web browser kwenye WP ni majanga si kama kwenye ANDROID, try uc browser.

Sent from my Nokia Lumia
 
android yenyewe karibia browser zote ni webkit hivyo experience ni same browser inayokuja na simu, opera bext, next browser, dolphin na nyengine kibao ni webkit ambazo zimebadilishwa tu muonekano kitu kikikataa browser moja ujue zote zitakakataa.

windows phone inamiss opera mini na firefox tu. firefox wanatoa browser yao ya metro kwenye w8.1 hope watatoa windows phone pia. opera wao walishasema wanahamia webkit hivyo tusahau opera kwenye wp.

kama mtu anataka experince kama ya opera anaweza tumia nokia experience browser au ucweb ambazo hizi hazitumii engine ya internet explorer hivyo kupata experience tofauti.

kudownload nokia express nenda hapa

Nokia Xpress | Windows Phone Apps+Games Store (United States)

8ac1d056-bc6b-4388-8b63-a21b9ee9ec45

na ucweb download hapa

UC Browser | Windows Phone Apps+Games Store (United States)
 
Hivi ukifanya Update kwenda 8.1 ni kitu gani hasa kinaongezeka na Je ktk hii Update unalipia kiasi gani?
 
kaka hii update sio official ni tetesi tu ndio zinaleak. itazinduliwa mwezi wa nne mwaka huu kwa watu wa kawaida ila mwezi wa pili zitaanza kutoka simu zenye wp8.1 hivi ni baadhi ya vitu vinavyohisiwa kuwemo

1. notification centre
hii imeleak na baadhi ya screenshot itakuwepo na pia itakua optional sababu tayari notification zinapatikana kwenye tiles.
Windows-Phone-8.1-Quick-Access-1.jpg

2. kuinstall app kwenye memory card.
sasa hv wp inainstall application kwenye phone memory tu ila baada ya hii update utaweza eka app kwenye sd card.

3. sound control.
wp volume control ni moja tu ukipunguza sauti ya video basi umepunguza sauti ya mlio wa simu. huwezi kupunguza sauti kivyake vyake. ila baada ya hii upate utaweza.
WP81Volumecontrols.jpg

4. on screen button
kwenye hii update kutakua na onscrèen button hivyo tegemea simu yenye bezzel ndogo.
wp81-maybe.jpg

5. file manager
hii nayo ni tetesi tu haijulikani itakuwaje wala itafanya kazi vp.

6. improvement nyegine kama kukubali specs za kisasa. kuna rumors za lumia yenye kioo cha 2k na snapdragon 805.

tusubirie tarehe 24 mwc nokia watatujuza mengi kuhusu hii update.
 
na hii upgrade ya wp 8 black, ni ipi hasa?
 
kila katikati ya update kubwa na kubwa kunakua na updates ndogo ndogo.

toka windows phone 8 mpaka windows phone 8.1 kuna update ndogo tatu ambazo zilipewa majina ya gdr. kulikuwa na gdr1, gdr2 na gdr3. (gdr ni kifupi cha general distribution release)

sasa hizi update zikitoka nokia yeye anaongezea vitu vyake anatoa. mfano gdr2 nokia aliita amber na hii gdr3 ikaitwa black. so black ni gdr3 update ndogo ya kuikaribisha update kubwa ya wp8.1

ingekua ni android basi tungeita v4.1 v4.2 v4.3 zote hizi ni jelly bean ila zumegawanywa zikatoka kwa msimu kabla kuja update kubwa ya kitkat v4.4
 
Ni kiasi gani utatozwa ukifanya hii update, na inakuja na vitu gani hasa?
 
We jamaa Tanzania unapoteza muda tu. Bonge la asset wewe, ilibidi Nokia Mobile Innovation Lab.wakubebe :msela:

mkuu Kwahyo unataka tanzania Tubaki Mamburula tuu af wataalam waondoke??? Haiwezekani banaa maana asingekuwepo mm na ww tusingepata ujuz anaotoahumu... now angekua anahudumia member wa NOKIA BLOG pekee... Tushukuru kupata mtaalamu kama chief
 
kwa lumia 620 naweza kupata hii update?

kaka ni lumia zote zenye wp8 zinapata black update. jaribu kuangalia kama kuna updates. kama simu yako haijawa locked kwenye mtandao wowote unatakiwa uipate. lumia black ndio hio hio gdr3 ambayo inasolve tatizo lako la kurotate
 
nazipatia wap? kila siku naangalia updates pale kwenye store. au unazungumzia wapi tena?
 
setting halafu software update. inakua kwenye setting na sio app store

my mistake kaka haijatoka ya 620 ila soon wiki hii itatoka
 
Bwana chief hizo alternative browser za WP huwa ziko slow Sana ukicompare na default browser {ie}, vile vile WP inalimit memory inayotumika na hizo apps ndio maana ukitumia uc browser kufungua heavy pages (in non speed mode) utakutana na alert kibao za "memory recovery". By the way android ni rich in browsers tena ambazo zinaperform (speed) better than default either zinatumia webkit or any engine, kumbuka webkit ni open source so unaweza itwist unavyotaka na sio kama trident.

simu yako ina ram 512?? maana moja ya tatizo la wp ni kuwa app zake zinatengenezwa kwenye mazingira ya ram 1gb halafu ndio wanazi optimize kuja 512. ukiwa na ram kubwa pia tatizo la memory linakuja?
 
Back
Top Bottom