Open University warejesha foundation program

Ukiwa na NTA level 5 unakigezo cha kudahiliwa Foundation Program ya mwaka 1 ukifaulu ndio unaomba Chuo Kikuu. NTAlevel5 nafikiri inachukua miaka 2 baada ya F4 kwenye hizi College zetu.
Je mwenye cheti cha certificate anaruhusiwa kujiunga NTA 5 na akimaliza akafaulu vzuri anaruhusiwa kujiunga degree!??
 
Na je wa certificate akishapata NTA level 5 chuoni kwenu,anaweza kwenda degree!??
 
Na je wa certificate akishapata NTA level 5 chuoni kwenu,anaweza kwenda degree!??
Mkuu mimi siko Open nilikuwa nawafahamisha tu wana JF fursa iliyojitokeza ya kuendelea na elimu. Ukiwa na NTA level 5 (kigezo kimoja wapo cha kudahiliwa OFC) ndiyo unaweza kufanya hiyo foundation program na ukifaulu milango ya chuo inafunguka.
Je mwenye cheti cha certificate anaruhusiwa kujiunga NTA 5 na akimaliza akafaulu vzuri anaruhusiwa kujiunga degree!??
Ukiwa na Basic Technician Certificate NTA 4 unafanya NTA 5 (Tech. Certificate) halafu ndiyo unajiunga na Foundation Program,
 
Anhaa..hapo naona kwa anaetokea certificate bado miaka miwili itamuhusu,sasa c bora apige NTA 5 na 6 ili aende degree
 
Aliyepata DEE(Physics, Chemistry na Mathematics) form six 2014 hili halimhusu?
Kwani mwaka huo mtu wa aina hiyo aliandikiwa division "0".

Hata cheti hakupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…