Jiwe alisema huwezi toka F4 halafu ukaenda Chuo Kikuu. Aliwasambaratisha kwanza wale vijana wa UDOM, na hapa ukiangalia vigezo kwa wale wa F6 ni jumla ya miaka 3 baada ya F4, wa Diploma ni miaka 4 na NTA level 5 ni miaka 3. Hivyo matakwa yake yametimizwa. Tusicho jua je akija mwingine itakuwaje? Kwani raisi na waziri wakisha sema tuliobaki ni kutekeleza tu.Jiwe
Ukimaliza College baada ya F4 ili uweze kujiunga na Foundation Program unatakiwa uwe na NTA Level5/equivalent au Diploma, cheti cha kawaida nafikiri ni level 4 au equivalent hakikidhi sifa zinazotakiwa.Hii inamaanisha hata waliosoma college baadaya Kumaliza form four?
Naomba nieleweshe kidogo, walivyotangaza ni kwamba NTA level 5 anaweza kuendelea chuo kikuu au VP hapo ndio sielewi, na hii NTA level 5 inapatikana ukijiendeleza ukimaliza form 4 sio lazma usome form 5&6Jiwe alisema huwezi toka F4 halafu ukaenda Chuo Kikuu. Aliwasambaratisha kwanza wale vijana wa UDOM, na hapa ukiangalia vigezo kwa wale wa F6 ni jumla ya miaka 3 baada ya F4, wa Diploma ni miaka 4 na NTA level 5 ni miaka 3. Hivyo matakwa yake yametimizwa. Tusicho jua je akija mwingine itakuwaje? Kwani raisi na waziri wakisha sema tuliobaki ni kutekeleza tu.
Ukiwa na NTA level 5 unakigezo cha kudahiliwa Foundation Program ya mwaka 1 ukifaulu ndio unaomba Chuo Kikuu. NTAlevel5 nafikiri inachukua miaka 2 baada ya F4 kwenye hizi College zetu.Naomba nieleweshe kidogo, walivyotangaza ni kwamba NTA level 5 anaweza kuendelea chuo kikuu au VP hapo ndio sielewi, na hii NTA level 5 inapatikana ukijiendeleza ukimaliza form 4 sio lazma usome form 5&6
Hapo nimekuelewa mkuuUkiwa na NTA level 5 unakigezo cha kudahiliwa Foundation Program ya mwaka 1 ukifaulu ndio unaomba Chuo Kikuu. NTAlevel5 nafikiri inachukua miaka 2 baada ya F4 kwenye hizi College zetu.
Hapo kwenye C Moja Form 4 dadavua ulipata C moja na zingine ni nini.Waungwan naomba mnisaidie, mm nna certificate ya form four yenye C moja pamoja na diploma GPA 3.4 kwa sifa hizi naweza kukubalika na kuanza iyo foundation ya OUT
Zengine ni F MkuuHapo kwenye C Moja Form 4 dadavua ulipata C moja na zingine ni nini.
Coz unapaswa uwe na walau D 4 au credit 3
Wewe inawezekanaje uwe na F 6 alafu C moja udahiliwe kuchukua certificate hadi diploma na umepata GPA ya 3.4 au umekosea typing maana lazima uwe na credit 3 au kwa sasa 4Zengine ni F Mkuu
Chuo Kikuu "Huria" cha Tanzania leo kimetangaza kurejeshwa kwa Foundation Program ambayo awali ilisimamishwa na serikali. Kwa hiyo njia nyingine ya kwenda vyuo vikuu imefunguliwa tena ingawapo dhana ya uhuria wa chuo kikuu hiki imepungua. Nasema imepungua kwani sasa vigezo vya udahili ni
1. Form 6 mwenye point 1.5 kwenye masomo mawili
2. Mwenye Diploma ya GPA 2 hadi 2.9
3. Mwenye Cheti cha NTA level 5/Professional Level II Certificate.
Hivyo mwenye certificate baada ya o-levels inabidi apate Diploma au NTA level 5 sio kama zamani ambapo certificate ilitosha.
Program ni mwaka 1 Gharama ni Tshs 630,000. Wahitimu wa program hii wanaruhusiwa kujiunga na chuo chochote nchini.
Kazi kwenu.