Namuonea huruma kamanda lissu.
Amejeruhiwa mpaka kupata kilema,akiwa na wafuasi maandazi hawa wasiojua nini cha kushika na kukitetea.
Mtu anakwambia amefanyia intelijensia google[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],halafu utakuta huyu mtu amemaliza chuo,na ameajiliwa au anatafuta kazi.