Open Source Intelligence: Mkandarasi wa "Stigla Goji" ana walakini?

lakini mi naona mngempatia nafasi huyu mzee naye afanye majaribio yake kwa muda huu wa miaka 5 kama wenzake walivyofanya majaribio yaliyotufikisha hapa tulipo.

#there's no hurry in africa
 
Nawaonea huruma wapiga zumari maana hawamjui Jiwe lakini atakapoondoka madarakani ndiyo watamjua undani wake na ndiye atakayekuwa mmoja wa marais tajiri Afrika. Mradi wa SGR kinachofanyika mle ni balaa vumilieni akitoka tu muone dili zilizofanyika
 
Nawaonea huruma wapiga zumari maana hawamjui Jiwe lakini atakapoondoka madarakani ndiyo watamjua undani wake na ndiye atakayekuwa mmoja wa marais tajiri Afrika. Mradi wa SGR kinachofanyika mle ni balaa vumilieni muone kinachofanyika
Kawadanganye MAFALA kama wewe, huyo unayem quote muanzisha mada, anajifanya kitengo mstaafu. Kuanzia kipindi cha kampeni 2015 walichungulia mpaka akaunti za nje ya nchi hawajaona kitu, wamejaribu kufukunyua kuona kama kuna ela zimefichwa mahali wamechemka, hawaoni kitu. Angetaka kuwapiga angewapiga miaka 20 aliyokuwa anakabidhiwa bilioni nyingi sana za barabara nchi nzima lakini WAPI?, Hizo ela unazodai anazipiga anaziwekaga wapi?,.. Uvunguni mwa kitanda. Angalia thread zinazoanzishwa nyingi sasa hivi zisivyo na kichwa wala miguu baada ya kukosa vitu vya maana vya kukosoa?,. Mkuu waweza kukuta wewe ndo unalishwa maneno ya vijiweni na hutakaa uweze ku prove unachokiongea maana hakuna uhalisia.
 
Alafu inasemekana hiyo kampuni eti haijawahi kujenga hata shimo la chemba.
 
Kachero mzoefu kuna kampuni safi isiyo na rushwa hapa duniani?? Kwenye ulimwengu huu wa ubepari uliokamaa (imperialism) utakosa kampuni yenye kashfa ya rushwa?? Kikubwa mradi ukamilike kwenye viwango na mda uliopangwa.
 

Nimewashauri wengi tu humu waachane na mzushi Evarist Chahali lakini bado tu wanamfuatafuata.
 
Wewe mchawi. Ngoja niwaambie MODs wakuweke kwenye barafu
 
MoDs put this creature in ice
 
Wewe umekuja na mada mpya.
Mjitahidi kubaki kwenye mada Kuu, Kama una maoni au mchango changia kulingana na mada.

Sasa Chahali kaja na mada wewe hata kufanya OSINT umeshindwa unaleta mada Yako mpya.

Duh Kama #dawainaingia kwa stahili hii kweli Kazi ipo, ngoja tuendelee kutizama angani tuone Airbus zinapopita
 
Ngoja nichangie huu uzi ili siku mambo yakiaribika basi tuseme tuliwambiaga maana JF bwana jambo linaweza kuletwa hapa kama mzaa ila baada ya miaka miwili au mmoja inakuwa kweli

Ngoja tusubilie.
 
Tuache tunaimba pambio tu wakati huu. Hayo mambo mengine ya ufisadi yatagundulika baadaye akija rais mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…