JWatu wengi hawajui maana ya open relationship, kwenye Facebook ndio usiseme kwasababu watu anajiandikia tu hiyo status but kiukweli huku kwetu bongo ni ngumu sana, mara nyingi watu wanaanza kuwa possesive na wivu unakuwa kwa sana, hapo ndio matatizo yanapoanzia. wengine wanaiita friends with benefit au no string attached.i